Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

Nimewaza hao wazee wangekuwa wa Mombasa!
 
ukweli ni kwamba unaharibu budget za watu, ondoka hapo haraka
 
Nahisi wewe utakuwa unaingia kwenye siku zako maana mwanaume wa kweli hawezi kufanya ujinga kama wako.
 
Hahahah, mkuu unafurahisha Sana, unataka milo mitatu kwa watu? Kwanza nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuuliza chakula wakati ukitoka mizunguko[emoji2][emoji2]

Kama kwenu wamekufukuza na umepishana na Mzazi wako , watu back watashindwaje kukufukuza? Inaonesha huenda wew ni kula kulala kwenye kaya ya watu, huchangii chochote iwe nyanya au Kitunguu, JIFUNZE KUISHI NA KIPOFU[emoji120]
 
Eti kijana wa miaka 38.

You are such a useless person. No wonder baba yako mzazi ame give up.

Msaada umekuwa haki? Kwa umri wako huo? Ondoka kwa watu usijezoea kula bure hadi ufike 50!
 
OCTOBER 01 ULITUAMBIA UNAMILIONI 15 VIP ZIMESHA ISHA NA UNAMIEZI MITATU KWA WATU.


WACHENI KUCHEZEA JF HUKU SIO FB MODERATES UZI ZA HAWA WATU MSIWE MNAZIRUSHA.


ALIWAHI KUTUBIA KASOMA UTAWALA LEO TENA MARKETING
 
Moja ya kitu nimejifunza ni kumsaidia mtu akiwa mbali...

Wewe unaonekana ni mpuuzi hufai kukaa karibu na mtu yeyote otherwise atajuta...
 
Nakumbuka hiyo thread yako uliogombana na mshua wako kisa siasa.

Ishu haikua SIASA ishu ilikua wewe Uwe upande wa CCM katika chaguzi ndogo zile za 2019.

Uzi wako na Majibu ya wadau dah vituko tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…