Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Hivi uko serious au unatania??😀
Siamini Leo umejibu fasta sana "mapigo ya mbio yameenda moyo"😂😂😂😂 Panchitooo
Na wewe mzeeWee jamaa kama kweli una 38 basi ni mkubwa nomba ila huna akili tena hata kidogo.
Kama haya uliyoandika uko serious basi kuna tatizo mahali.
unamiaka mingap mrembo
Kijana unayapenda marinda yako kweli?unamiaka mingap mrembo
mkuu nimeuliza tu sababu naona comment zake mara kadhaa ndio nikapenda kujua umri wakeKijana unayapenda marinda yako kweli?
Namshauri aende Mombasa kabisa atalipiwa hadi maji ya kuogaKapige maisha Zanzibar kwenye watu wakarimu
Wewe hauko sawa. Fanya uondoke ukajitegemee. We We si ndio hupendi mambo mazuri kwa wenzako, unashangaa nini unapoonekana mnyonyaji?Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,
Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.
Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika
sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali
wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
😂😂😂😂 Taratibu panchito bado tunakuhitaji.Siamini Leo umejibu fasta sana "mapigo ya mbio yameenda moyo"
Halafu kwanini umetoa avatar yako ile?
Leo ntalala usingizi mzuri mnoo😂😂😂😂 Taratibu panchito bado tunakuhitaji.
Avatar ipi hiyo panchito
Wabongo wanawaza kula tu ! mleta uzi ni mbongo halisiHabarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,
Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.
Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika
sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali
wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
Nikutakie usingizi mnono panchitoLeo ntalala usingizi mzuri mnoo
Mama peter kasafiri
Namuandikia na talaka
Nashkuru sana mama ndo naotaNikutakie usingizi mnono panchito