Ww jamaa mbona unanivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,
Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.
Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika
sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali
wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
Samahani wewe sio mtanesco kweli?Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,
Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.
Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika
sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali
wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
Duuu! Kama mimi aisee nimemkumbuka mtanesco😀😀😀😀😀 huu uzi umenikumbusha Daktari wa Meno
Mtanesco ni Legend naona kijana anajitahidi kufikia level zakeDuuu! Kama mimi aisee nimemkumbuka mtanesco
Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,
Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.
Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika
sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali
wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko
naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
Mjini msaada ni siku tatu tu ya nne jitegemee.Kwanza ulitakiwa ushangae kwa ukarimu wa hao wazazi kuishi na wewe mpk leo na uwashukuru maana ni wachache wenye moyo huo
Mkuu chadema hakuna Usenge huo...huyu atakua ZANU-PFYaan.kabisaaa....kabisaaaaa...38 halaf unaongea us....nge
Dah...kisaikolojia tu unaonekana we ni kichomi kwenye jamii.na utaendelea kutengwa
Nawew lazima ni chadema wew
We mama umeliteka limoyo langu kwa kipindi kisichopungua miaka 6You again 😂😂😂😂
😂😂😂😂 PanchitoooWe mama umeliteka limoyo langu kwa kipindi kisichopungua miaka 6