Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

Ww jamaa mbona unanivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samahani wewe sio mtanesco kweli?
 
Huyo baba wa rafiki yako mkarimu sana, milo 3??? si ajabu hata yeye mwenyewe hali milo 3 nyumbani
 
Huyu dogo anadhan sisi watoto wenzake wa Facebook huo ujinga wa story za kutunga apeleke huko hii haiwez kuwa akili ya mtu wa 38 years
 

Mwanaume usililie kulelewa toka katafute hata kazi ya ulinzi.Ndio kiokozi kimbilizi cha mambo yakwamapo mjini
 
Kwanza ulitakiwa ushangae kwa ukarimu wa hao wazazi kuishi na wewe mpk leo na uwashukuru maana ni wachache wenye moyo huo
Mjini msaada ni siku tatu tu ya nne jitegemee.

Kitanda box chumba varanda za maduka kariakoo. Mjini muhimu kula kulala pako tele.

Usione hizi corido na veranda tukanyagazo mchana mijini hivi usiku ugeuzwa vitanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…