Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

Unawauliza kuhusu chakula kwani una mke hapo kwao rafiki yako..?? Au uliacha pesa ya matumizi..??
 
watu wanaokasirika na kutukana hawamjui tu huyu jamaa....
 
Bro, kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako. Unaandika hovyo, mwandiko tu unaonesha una tabia za hovyo. Huwezi kuishi na watu. #Swaini.
 
Wewe hauko sawa. Fanya uondoke ukajitegemee. We We si ndio hupendi mambo mazuri kwa wenzako, unashangaa nini unapoonekana mnyonyaji?
 
Una miaka 38 au ulimaanisha 18 au 28?!

Hiyo degree yako nina mashaka nayo sana....!

Anyways, acha kulalamika sana. Usipende watu wawe responsible na wewe ile hali si jambo la lazima au muhimu kwao.

Ni kweli wanachofanya ni ubinafsi sana na uchoyo ila hakuna namna,wewe miezi hiyo mitatu haukutakiwa kutoa toa macho hapo ukitegemea fadhila. Mimi nimekaa sana sehemu kuhifadhiwa ni wiki mbili. Nasepa kabla hawajanizoea na kunichoka.

Ondoka hapo tumia hiyo elimu yako vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo wanawaza kula tu ! mleta uzi ni mbongo halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…