Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

Elimu ya udizimu
 
Kama kwenu kwa baba aliyekuzaa kakufukuza iweje kwa baba wa mwenzio?
Halafu huonekani hata kujiongeza na elimu yako ya udsm unakidhalilisha chuo na unadhalilisha huo umri wako pia.
Jiangalie mzee baba. Na pengine kuna vituko unavionyesha hapo mbona mwanzoni walikupokea?
 
Vizia chakula cha baba mwenye nyumba ule wewe ukimaliza kalale chumban kwake maana huyo mzee alishatakiwa akutoe nduki siku nyingi ila kasindwa inaonekana anakuogopa
 
Kimbia kwa baba yako ukamuombe msamaha kwa makosa uliyomfanyia. Kitendo cha kibadilishana kauli na baba yako ni laana tosha ukaja ukaipigilia msumari kumpeleka baba yako kumshitaki. Kifupi una kichaa
 
Naona kama unaupungufu kichwani.
Hapo fanya uondoke
Akufukuzae hakwambii toka
Halafu hapo unakaa miezi yote hiyo unakula bure hv ujiongezi..?

Dume zima kukaa bure hadi kulishwa ulishwe angalia usije kuolewa
 
Wewe kweli kikoozi wallah...
 
Aisee we jamaa inaonekana ni muongo muongo flani hivi,OK siyo shida kuna namba ntakutumia,iyo namba utapiga alafu tutakutana mahali Fulani ili nikupe msaada si unaona kama unateseka etiii eeeh,alafu uje ulete na mrejesho huku jukwaani ww si unataka kula tu rafiki eti ee,Fanya nitakavyokuelekeza
 
Wama 1967, Mwalimu alianzisha msemo, USIWE KUPE, JITEGEMEE!
Na waswahili walianzisha msemo, MGENI SIKU YA KWANZA, SIKU YA PILI MPE JEMBE AKALIME.

Kwa kifupi, ulisha kuwa kero, jitahidi ujikimu kimaisha kwa kujihudumia, walichofanya huko ugenini si uchoyo bali kuchoshwa na utegemezi wako.
 
Mkuu 38 years, we kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…