secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hiyo laki tano ni kama kijibenki flani mkuu.Bit laki tano nyingi sana. Hata mbili ni fair enough.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo laki tano ni kama kijibenki flani mkuu.Bit laki tano nyingi sana. Hata mbili ni fair enough.....
Dah hiyo ilikuwa noma balaa hapoNi hatari sana.
Imenitokea wiki iliyopita natoka udsm, sasa kama unaenda kimara lazima uje upite mawasiliano hapa, sasa kuna hilux iko mbele yangu ikakatisha kwenye barrier zile za barabara ya fly over na ile ya kawaida...
Nina muhuni wangu mmoja alinunua gar shroom badae ilikuja kumshinda akaipak gar nzur tu kuuza hatak kuihudumia hatak ikabao imekaa tu watt wanaichezea, jamaa akiangali kodi ya nyumba, mahitaj yake na kipat anachoingiza mara gar aihudumie ikawa imemshinda, kwahiyo suala la kuangalia kipato Ni muhim pia mkuu ili usikutane na aibu kama hizo za kuendesha gar huku huna hata 100 mfukon unaweza ukamparamia hata mtu alaf ikawa tatzoHa ha ha ha ha ha ha honest truth. Gari bila kipato ni sawa na mwanaume asiye na pesa kuishi na mwanamke mzuri anaetakwa na kila mwanaume.
Gari haitaki maigizo. Gharama inakuja katika sura nyingi..
Na ndio ukute gari haina bimaNina muhuni wangu mmoja alinunua gar shroom badae ilikuja kumshinda akaipak gar nzur tu kuuza hatak kuihudumia hatak ikabao imekaa tu watt wanaichezea, jamaa akiangali kodi ya nyumba, mahitaj yake na kipat anachoingiza mara gar aihudumie ikawa imemshinda,, kwahiyo suala la kuangalia kipato Ni muhim pia mkuu ili usikutane na aibu kama hizo za kuendesha gar huku huna hata 100 mfukon unaweza ukamparamia hata mtu alaf ikawa tatzo
Si kweli.Anaishi maisha ya hatari sana huyo jamaa, ukiweka gari barabarani hakikisha una angalau 50,000 ya kuongea na traffic, wale jamaa hawaelewi lugha nyingine.
Especially kipindi kile cha korona ambapo ilikuwa tunapanda kwa foleni sana. Lakini pia bila barakao ni tatizo.Hakuna changamoto mbaya kama huna hela na unahitaji kutoka na gari. Na hapo hupendi kupanda usafiri wa umma.
Asikwambie mtu.
Sio dar...mkoan labdaHahahaha sijawahi kuwapa labda waombe tena kwa adabu, juzi mmoja nilimpa buku mbili Wilaya ya Ikungi huko
Hii ni kweliAnaishi maisha ya hatari sana huyo jamaa, ukiweka gari barabarani hakikisha una angalau 50,000 ya kuongea na traffic, wale jamaa hawaelewi lugha nyingine.
Usipokuwa mjanja na gari, haki linakufilisiKuna jamaa yang yet alinipa gar akaniambia tumia tu kweny mizunguko yako kwakua ilikua imepak tu,, ile gar nilitumia wik 3 tu nikamrudishia akashangaa chuma imepak nje ya get nikamkabidhi key.
Nilijikuta naishi kwa gharama sana ala kipato cha kawaida ningeweza kuimudu ndiyo ila nisingeweza kusave pesa,, mm naamin kila kitu na wakat wake.
Achilia mbali trafiki kuna ajali ndogo ndogo kama kuchubua rangi na kubamiza bampa za watu ikitokea lazima uaibike.Anaishi maisha ya hatari sana huyo jamaa, ukiweka gari barabarani hakikisha una angalau 50,000 ya kuongea na traffic, wale jamaa hawaelewi lugha nyingine.
Wewe una akili sana mkuu.Kuna jamaa yang yet alinipa gar akaniambia tumia tu kweny mizunguko yako kwakua ilikua imepak tu,, ile gar nilitumia wik 3 tu nikamrudishia akashangaa chuma imepak nje ya get nikamkabidhi key.
Nilijikuta naishi kwa gharama sana ala kipato cha kawaida ningeweza kuimudu ndiyo ila nisingeweza kusave pesa,, mm naamin kila kitu na wakat wake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Makondakta huwa wana hasira sana na watu wenye private cars.Kuna siku maisha yalinifunga kamba za viatu, Niko kwenye foleni kabla mfugale haijajengwa. Ka cresta sikakazima mfukoni Nina 2,000 jamu niliyozuia, nusu mkojo niuache.
Konda Mmoja "gari za shemeji zenu, mnakuja kutuzimia huku, na hapo hata 3,000 huna".
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wewe una experience ya kutosha.Ha ha ha ha ha ha ha honest truth. Gari bila kipato ni sawa na mwanaume asiye na pesa kuishi na mwanamke mzuri anaetakwa na kila mwanaume.
Gari haitaki maigizo. Gharama inakuja katika sura nyingi...