Haahaa pole mkuu
Mkuu ilikuwa hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa pole mkuu
Duh, ukafanyeje mwananguKuna siku maisha yalinifunga kamba za viatu, Niko kwenye foleni kabla mfugale haijajengwa. Ka cresta sikakazima mfukoni Nina 2,000 jamu niliyozuia, nusu mkojo niuache.
Konda Mmoja "gari za shemeji zenu, mnakuja kutuzimia huku, na hapo hata 3,000 huna".
Ndio maana watu wengi siku hizi akishakuwa na kigari chake utakuta anaumwa pressure,ukimuuliza utasikia kwetu ipo ni ya kurithi,kumbe wengi sababu ni maisha ya mashaka anayoishi baada ya kulazimisha kuwa na kausafiri wakati hela yake ya mashaka...Dah nimeanza kujifunza kitu. Kuna muda mtu unamuona anapita na kausafiri kake especially hivi vibaby walker, ukasema ameyapatia na ile hali hapo hiyo route anapokwenda akikosa anachokifuata basi anaweza asiweze kuamsha gari sababu ya kukosa fuel ya kumrejesha home...
Wanapenda upande kwenye magari yao ili hesabu isome vizuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Makondakta huwa wana hasira sana na watu wenye private cars.
Kwa siku nilikua naweza kutumia 30k+ nlipiga hesabu nikaona mwez haujaisha ila nmetumia zaid ya 600,000/= kwasabab unakuta Kuna vtu vdogo vya kurekebisha huwez kumwambia alikupa gar inabid upambane,, nikaona hii mm siwezUsipokuwa mjanja na gari, haki linakufilisi
Mkuu ukiiga lifestyle ya mtu bila kujua kipato chake unaweza ukaish maisha ya showoff tu lakn ndan umejaa madeni[emoji1]Wewe una akili sana mkuu.
Kuna watu wengine vichwa boksi ndio wanapenda waazime magari wapate kiki mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti presha ya kurithiNdio maana watu wengi siku hizi akishakuwa na kigari chake utakuta anaumwa pressure,ukimuuliza utasikia kwetu ipo ni ya kurithi,kumbe wengi sababu ni maisha ya mashaka anayoishi baada ya kulazimisha kuwa na kausafiri wakati hela yake ya mashaka...
Kumbe matrafiki wanavuna sana, sijawahi kutoa zaidi ya 5k. Kumbe mpo mnaotoa 15k dah!!Hutoi yote unatoa 10,15 hurlings yote
Laki? Witty dah! Buku kumi mbona inatosha sana, muhimu wese liwepo!!Hii ni kweli
Binafsi sitoki na gari bila laki kwenye sidiria
Nakwambia acha tu.... Kuna kipindi niliuza gari nikaanza kuhesabu hekari kama mwaka hivi, aisee nikajua unafiki wa wanadamu the way walibadilika namna ya kunitreat. But nilipochukua nyingine ndio nikaanza kuadopt na hali halisi ya maisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wewe una experience ya kutosha. Mambo yote uliyoandika ni ya ukweli na yanatokea ktk jamii zetu. Kwenye jamii zetu ukishanunua gari hata kama ni chakavu unaitwa mshua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku maisha yalinifunga kamba za viatu, Niko kwenye foleni kabla mfugale haijajengwa. Ka cresta sikakazima mfukoni Nina 2,000 jamu niliyozuia, nusu mkojo niuache.
Konda Mmoja "gari za shemeji zenu, mnakuja kutuzimia huku, na hapo hata 3,000 huna".
Kuna mshikaji alipopata kikazi chake akafukuzia mkopo na hela ya dili zake akaagizia kluger.Ndio maana watu wengi siku hizi akishakuwa na kigari chake utakuta anaumwa pressure,ukimuuliza utasikia kwetu ipo ni ya kurithi,kumbe wengi sababu ni maisha ya mashaka anayoishi baada ya kulazimisha kuwa na kausafiri wakati hela yake ya mashaka...
Nilishawahi pata misala huko mabarabarani so nikajifunza ElliLaki? Witty dah! Buku kumi mbona inatosha sana, muhimu wese liwepo!!
Aisee mkuu umepitia changamoto kama zangu. Mimi mwenyewe mwaka juzi nilinunua gari japo ilikuwa used iliyotumika bongo. Basi aisee nilipata marafiki wengi ghafla hata walipotokea hapajulikani.Nakwambia acha tu.... Kuna kipindi niliuza gari nikaanza kuhesabu hekari kama mwaka hivi, aisee nikajua unafiki wa wanadamu the way walibadilika namna ya kunitreat. But nilipochukua nyingine ndio nikaanza kuadopt na hali halisi ya maisha
Kwa miaka hii ukimpa elfu tano labda awe na njaa sana na awe amekuhurumia. Ila ni kuanzia 10k.Kumbe matrafiki wanavuna sana, sijawahi kutoa zaidi ya 5k. Kumbe mpo mnaotoa 15k dah!!
Mimi hii yangu natumia muda mwingi nipo pekee yangu. Maana nimegundua watu ni wanafiki sana. Siazimi hata mtu akiniomba labda iwe msiba au kuna dharula ya mgonjwa. Ila mambo ya sijui harusi watakwenda kukodi uber huko.Aisee mkuu umepitia changamoto kama zangu.
Mimi mwenyewe mwaka juzi nilinunua gari japo ilikuwa used iliyotumika bongo. Basi aisee nilipata marafiki wengi ghafla hata walipotokea hapajulikani.
Ilikuwa kuanzia saa moja tu asubuh simu zinamiminika kabla sijaamka watu wanajazana gheto ili nikitoka nipige nao misele. Sasa ile gari nikaiuza basi huwezi amini wale watu waliyeyuka ghafla hadi leo hawana habari na mimi.
Nina mpango mwakani ninunue nyingine na nitakuwa sitaki mazoea na mtu.
Sijawahi zaidi ya 5k mkuu, pale mapipa nilivuka zebra mtu anacross traffic kanipiga mkono, nikaimbisha dk2 akaniambia nenda. Yangu haitoki ovyo, nabisha mpaka jamaa anajiuliza huyu anatokea wapi..10k nawasikia nyie!!Kwa miaka hii ukimpa elfu tano labda awe na njaa sana na awe amekuhurumia. Ila ni kuanzia 10k.
Hiyo elfu tano akikuandikia anenda kupewa kama commission ya kukusanya mapato.
Au haujui kuwa TRA na Traffic ni taasisi moja majengo tofauti