Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Huu ulikuwa ni zaidi ya msala.Dah una bahati sana. Mimi mwaka fulani niliamshwa asubuhi sana nimpeleke bi mkubwa kazini.
sasa nilikua bado nina usingizi huku naendesha gari nilimkosa kidogo sana kumgonga gari Mkuu wa Majeshi(jina kapuni) alikua anafanya mazoezi ya kutembea yeye na bodyguard wake. Mpaka sasa hua nikikumbuka naogopa sana.