Hivi kumbe unaweza toka na gari na hauna hata shillingi mia mfukoni

Kuna brazamen mmoja anaendesha Mark X ila mara kwa mara inamtokea gari kumzimikia njiani akiwa anafosi mafuta yamfikishe nyumbani
Hapo asubuhi alitoka taa ya mafuta inamuwakia tyr ila akakomaa na reserve fuel
Huyo nae ana balaa sana, gari yenyewe inagonga 6km/l halafu unafosi kutembelea taa tena bongo? Mie siendeshi gari inayowaka taa Daslamu! Licha ya kero za matrafiki tu ila Distance za Dar ni za 10km+ point to point halafu mafoleni mengi sana.

Inaweza kukuadhiri usipokaa mkao.
 
Yes, sasa kama una marafiki kama 200 na hakuna mwenye uwezo wa kukupa hata million ukiwa na shida, hizo si ni takataka?
Nilipata Starlet model kabisa inauzwa Million 2, mfukoni nikawa na moja na nusu, washkaji kwa umoja wao wakashindwa nikopesha kilo tano. Mbaya wanataka niliyo nayo tuile. Nikasanuka asee, na leo rasmi nimewabatiza "Takataka"
 
Dah pole sana!
 
Hao sio washkaji aisee
 
Pole mkuu...
Binafsi sioni maana ya kuwa na marafiki wengi ambao wanaangalia wallet yako tu...ukiwa na shida wanakupa kisogo..

Bora niwe na marafiki wawili ambao tunaishi kama ndugu
 
Nilipata Starlet model kabisa inauzwa Million 2, mfukoni nikawa na moja na nusu, washkaji kwa umoja wao wakashindwa nikopesha kilo tano. Mbaya wanataka niliyo nayo tuile. Nikasanuka asee, na leo rasmi nimewabatiza "Takataka"
Ila saa zngne jitathmini nawew pia inawezakana ukikopeshwa hua haulipi kwa mda muafaka n.k so mtu anakua hana imani nawew na kumbuka 500k nindefu pia
 
Mpaka niamue kuwaita hivyo ndugu nimejitathmini asee.

Ni mlipaji mzuri sana (Na namuomba Mungu niendelee hivyo).

Lakini sikutaka yote kutoka kwa mmoja, wana wako kama wanne hivi. Na wawili walikuwa wanajua within a week or two kuna hela yangu ndefu inatoka (kumbuka ni wasiri wangu). Nilitaka tu mkopo sababu ya uharaka chuma kisiuzwe kwa mwingine
 
Kimfaacho mtu chake..
Mimi maisha yakinizidia kimo hua nauza vitu vyangu. Naona hata nikija kumiliki gari siku nikizidiwa kimo naliweka sokoni mapema asubuhi na jua linawaka.
 
Huu usemi ndiyo unaoniongoza kabla sijaweka kitu sokoni.
Wanasema ulichokichoka kuna mwingine ana kitaka. Ukiapply hii kanuni katika maisha yako ya ndoa au mahusiano utapunguza stress kwa asilimia kubwa sana.
 
Mkuu Ni risk Sana ilishawahi kunikuta mwaka 2011 nilitoka home Nina Mia tano bahati mbaya Sana nikamgonga mke wa hansi kitine aliekuwa mkurugenzi wa usalama zamani bahati nzuri kwangu mama alikuwa...
Dah una bahati sana. Mimi mwaka fulani niliamshwa asubuhi sana nimpeleke bi mkubwa kazini.

sasa nilikua bado nina usingizi huku naendesha gari nilimkosa kidogo sana kumgonga gari Mkuu wa Majeshi(jina kapuni) alikua anafanya mazoezi ya kutembea yeye na bodyguard wake. Mpaka sasa hua nikikumbuka naogopa sana.
 
Back
Top Bottom