Hivi kumbe unaweza toka na gari na hauna hata shillingi mia mfukoni

Hivi kumbe unaweza toka na gari na hauna hata shillingi mia mfukoni

Kuna siku maisha yalinifunga kamba za viatu, Niko kwenye foleni kabla mfugale haijajengwa. Ka cresta sikakazima mfukoni Nina 2,000 jamu niliyozuia, nusu mkojo niuache.

Konda Mmoja "gari za shemeji zenu, mnakuja kutuzimia huku, na hapo hata 3,000 huna".
😀😀
 
Dah nimeanza kujifunza kitu. Kuna muda mtu unamuona anapita na kausafiri kake especially hivi vibaby walker, ukasema ameyapatia na ile hali hapo hiyo route anapokwenda akikosa anachokifuata basi anaweza asiweze kuamsha gari sababu ya kukosa fuel ya kumrejesha home..
Kawaida sana hii, ingawa sio ya kufanya kimazoea ila ikitokea mfukoni hamna kitu na inabidi utoke na gari lina wese wewe piga moyo konde ingia road kibishi, mimi nisipokuwa na kitu mfukoni siku hiyo nakuwa ni dereva bora macho yote yanaangalia vibao barabarani sifanyi kosa kiboya ingawa kuna siku pale junction ya mwenge kuelekea ubungo nilipigwa mkono na traffic ananiambia nimepita kwenye red wakati mimi niliona kabisa yellow imewaka nikiwa katikati ya junction, tulipelekeshana na yule afande uzuri ukitumia lugha nzuri mnaelewana na sikumpa hata mia maana sikuwa nayo [emoji28]
 
Amina mkuu.... Amina.....

Mimi huu ni mwana na miezi nane nashukuru MUNGU, ukiacha hivi vitiketi na vibao vya matrafiki, sijapata ajali hata ya kuingiza gari kwenye shimo, nadhani malaika wa ulinzi niliopewa watakuwa wananijua vema sana tokea utotoni so wananipa ulinzi kiwango cha platinum.
Ukianza kutafuna mademu kwenye gari, utapata vi ajali vidogo vingi sana, angalia magari ya wanzinzi uone yalivyochoka, nnakushauri usijaribu
 
Mimi maisha yakinizidia kimo hua nauza vitu vyangu. Naona hata nikija kumiliki gari siku nikizidiwa kimo naliweka sokoni mapema asubuhi na jua linawaka.
 
Mikoani wanachukua hata buku 2 mzee baba. Kwa Dar es salaam sawa ndio wana maringo ya kuchagua pesa ila mikoani hawana hizo.
Nimeshuhudia mara nyingi rafiki zangu wanatoa buku 2 wanaachiwa.
Kwa miaka hii ukimpa elfu tano labda awe na njaa sana na awe amekuhurumia. Ila ni kuanzia 10k.

Hiyo elfu tano akikuandikia anenda kupewa kama commission ya kukusanya mapato.

Au haujui kuwa TRA na Traffic ni taasisi moja majengo tofauti
 
Ukianza kutafuna mademu kwenye gari, utapata vi ajali vidogo vingi sana, angalia magari ya wanzinzi uone yalivyochoka, nsiushaurj usijaribu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]kuna kitu cha kujifunza hapa
 
HAO RAFIKI ZAKO NI MADALALI A.K.A MISHENI TOWN UKIWAIGA UNAHARIBIKIWA UTAWAWEKA NJAA FAMILIA YAKO KWA SABABU YA GARI
Leo nimeamini kuna

Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari...
 
Kuna brazamen mmoja anaendesha Mark X ila mara kwa mara inamtokea gari kumzimikia njiani akiwa anafosi mafuta yamfikishe nyumbani
Hapo asubuhi alitoka taa ya mafuta inamuwakia tyr ila akakomaa na reserve fuel
 
Hata hivo ningekua mimi pia hiyo njia unayozungumzia wewe siijui sababu sio mwenyeji hata mimi nikitaka kuenda kimara kutoka udsm ningepita sam nujoma road
Kimara kupitia Sam nujoma ni njia fupi sana Ila ina kero na changamoto za kupoteza muda hasa miss ya jioni , njia hiyo ya kupitia msewe inaweza kuwa ndefu kidogo Ila ni straight forward hainaga shida
 
Hahah

Hahahahah ishanikuta hio halafu maeneo ya bank nikiwa na bibie ameelekea ATM nikawa nimepaki upande upande, tairi moja iko nje ya chaki ya barabara.

Kumbe kuna traffic ananisomea ramani tu. Ile mama amefika akapanda gari tu jamaa yuko dirishani...
Ungemuwahi mapema ukaomba samahani kwani kweli umekosea na ukampa elf5/10 fasta ukaendelea na ratiba zako
 
Siku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjini
Au njia ya Msewe kupitia geti la pili
 
Kubali tu we ni mgeni ,njia inamiaka karibu 30 , tumeitumia toka ikiwa vumbi hadi inapata lami
😂😂 usiseme hivo Dar kubwa sana

Nakuhakikishia kuzaliwa Dar na kuishi Dar sio sababu hata kidogo ya kuijua dar yote.

So mi sijishangai kutoijua hiyo njia wakati mara ya mwisho kufika tu udsm ni 2013.

Kimara zaidi ya kupita njia kwenda nje ya dar si zaidi ya mara 3 nishawahi shuka kima
ra kwa ajili ya mishe yoyote ile.
 
Back
Top Bottom