Huu ulikuwa ni zaidi ya msala.Dah una bahati sana. Mimi mwaka fulani niliamshwa asubuhi sana nimpeleke bi mkubwa kazini.
sasa nilikua bado nina usingizi huku naendesha gari nilimkosa kidogo sana kumgonga gari Mkuu wa Majeshi(jina kapuni) alikua anafanya mazoezi ya kutembea yeye na bodyguard wake. Mpaka sasa hua nikikumbuka naogopa sana.
Ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ungechezea mikebeDah una bahati sana. Mimi mwaka fulani niliamshwa asubuhi sana nimpeleke bi mkubwa kazini.
sasa nilikua bado nina usingizi huku naendesha gari nilimkosa kidogo sana kumgonga gari Mkuu wa Majeshi(jina kapuni) alikua anafanya mazoezi ya kutembea yeye na bodyguard wake. Mpaka sasa hua nikikumbuka naogopa sana.
Mungu mkubwa sijui wangejua Mimi ni gaidi.Ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ungechezea mikebe
Imepita miaka kidogo lakini nikikumbuka naogopa sanaHuu ulikuwa ni zaidi ya msala.
Huku JF hakuna makabwela....makabwela mwisho Sitimbi....[emoji36][emoji36][emoji36]Bila shaka atakua mgeni hajajua kua JF kuna matajiri sana.