Hivi kumbe wanawake mnatuchukulia hivi! Da...

sasa Maty, tukiwatongoza shida,
tukiacha kuwatongoza balaa,
mtaanza kujiona mna nuksi......................

jamani tufanye nini sasa?
Ila nashukuru, kwa sasa hivi mpo juu kweli kututongoza.................
 
Tuko bana kwani ndevu mi nakuja kuwa na uhusiano nayo? tunachogomba hapa mtu anakutongoza kwa nguvu, na ari zote mpaka ahakikishe amekupata na amekufunua kisha anatimka zake. Sasa juhudi zote hizo za nini wakati unajua huyu mdada sina mpango nae?

samahani Maty, hivi kweli kama ingekuwa
kila mwanamke unaemtongoza ndo unakuwa,
na mpango mrefu na yeye, huoni kama ungekuwa
ni udhalimu mkubwa huu?

matokeo yake ni kutengeneza chuki na ubinafsi tu katika jamii,
hebu acha tugawane umasikini mama........

Kufa kufaana mpendwa!!!!!!!!!
 
Halafu baadhi yao wanaonaga kila mwanamke wa kuchezea,waeza kuta marafiki wamejipanga kila mmoja kwa wakati wake kukueleza jinsi unavovutia (uongo mtupu) yani huwa wananikera mpaka basi.

Tuko bana kwani ndevu mi nakuja kuwa na uhusiano nayo? tunachogomba hapa mtu anakutongoza kwa nguvu, na ari zote mpaka ahakikishe amekupata na amekufunua kisha anatimka zake. Sasa juhudi zote hizo za nini wakati unajua huyu mdada sina mpango nae?
 
Kwangu mimi ni bora niwe na mkosi kuliko kutongozwa na mwanaume ambae anajijua kabisa ananitamani tu kwa matamanio yake ya kingono. Tena nikikaa bila kutongozwa nashukuru kabisa asee.

Eti acha tugawane umaskini kufa kufaana we bacha usinchekeshe nakwambia hapa lol mpaka nimeshindwa kumalizia nilichotaka kuandika mwe! nitakuchapa mwone kwanza
 
ebu elezeni uongo wa aina gani coz mi naona hata nyie wakinadada ni waongo pia

sio uongo tu...................................hebu jaribu kukagua kama utakuta kuna bikira hata moja,sijui huwa zinatolewa lini na nani???? Manake raha ya mwanamke utu wake,kama mwingine amepita akaharibu nani akae???? Mwanamme kumaliza kidato cha sita akiwa bikira is highly probable lakini mwanamke kuvuka kidato cha pili ni issue,sasa unakutana nae chuo au wapi anakubania weeeeeeeeeeeeeeeeeeee,utadhani hajawahi,akiona unakata tamaa,anakupa,kumbe hamuna kitu,huyu ukimkimbia atalaumu kweli???wanawake mkitaka mthaminiwe,msikaguliwe na kuachwa....tulieni
 
Yani hamjui wakati mwingine jinsi mnavokera halafu kuna baadhi yenu hamchoki, mtu anakutongoza miaka 3 mama na watoto juu unamuambia haiwezekani lakini hakomi khaaaaaaaa.
Halafu anavomwaga sifa hakosei wala kusahau sifa aliyokumwagia toka 2007 mpaka leo 2011.

Halafu baadhi yao wanaonaga kila mwanamke wa kuchezea,waeza kuta marafiki wamejipanga kila mmoja kwa wakati wake kukueleza jinsi unavovutia (uongo mtupu) yani huwa wananikera mpaka basi.

Umeonaaa ee mpenzi tena wanapasiana kabisa akikukosa huyu anamwambia mwenzie aje. Yaani tabu kweli kweli sijui wanasikiaga raha gani
 
Yaani mpaka inaboa! Kwanini enyi kinadada kila siku ikiletwa topic kama hii mna-play innocent and victims? Ni udhalilishaji kwa wanawake-yaani kila siku mnaonewa na hampendwi na wanaume. Hakuna wanawake wenye tabia kama mnazowatuhumu wanaume? Stop whining-it sounds desperate.
 
hahahaha chauro hebu niachie kwanza mbavu zangu maana imebidi nicheke tu hapa. Na anakukomalia akijijua kabisa shida yake ni kukunalihu na kukuacha
 
Topic kama hizi ndio tunatolea madukuduku yetu, mbona zikianzishwa za wanaume na wao wanatutolea madukuduku yao. Hatukatai kuna mema wanafanya ila mabaya pia hatuwezi yafumbia macho yanatuumiza na wanaume ruksa kusoma yanayowakera ili tufundishane
 
Madhaifu? kuwatenda wenzenu kila siku...huh!! Akikupiga ngumi- madhaifu, akikesha baa- madhaifu, akitembea na mwanae-madhaifu, akihamia kwa changu-madhaifu, na hata akiamua kuwa shoga-madhaifu tu yakibinadam. THUBUTUU

With this kind of attitude, u will grow bitter, old and lonely alone. What about lesbians? Tell me who lines at Ohio, kinondoni and Corner bar selling sex-men or women?
 
Yani Maty acha tu, huwa wanadhani kila mwanamke anatumia magunzi kufikiri.

Umeonaaa ee mpenzi tena wanapasiana kabisa akikukosa huyu anamwambia mwenzie aje. Yaani tabu kweli kweli sijui wanasikiaga raha gani
 
Topic kama hizi ndio tunatolea madukuduku yetu, mbona zikianzishwa za wanaume na wao wanatutolea madukuduku yao. Hatukatai kuna mema wanafanya ila mabaya pia hatuwezi yafumbia macho yanatuumiza na wanaume ruksa kusoma yanayowakera ili tufundishane

Sawa dada, mi ninachopinga ni kunyoosheana vidole. Yaani huwezi kuwalaumu wanaume au wanawake wote kwa kosa la mwanaume au mwanamke mmoja.

Sisi wote-wanaume na wanawake ni waathirika sawa wa matatizo ya mahusiano/ndoa. Hakuna tabia inayoonyeshwa na mwanaume ktk mahusiano ambayo wanawake hawaonyeshi.
 
Sina hakika Rose, maana mi ni mwanaume, so siwezi kujijaji...

Hata hivyo majibu ya wanawake yalinishangaza, nikajiuliza hivi angehojiwa mke wangu angejibuje?!

Ebu siku moja jaribu kumuuliza kwamba anakuchukuliaje hili uondoe dukuduku kaka mpendwa.
 
Hahhahhahha...Pipiro asante kwakunipenda mpendwa!!!Na mie nakupenda kwa kunipenda!!
Sasa si tupendane au wewe hupendi kupendwa mpaka ukachukia? Mapenzi ya kweli mwanzo mpaka mwisho..... Duuuh nikiwa na wewe nitakupenda zaidi ya mapenzi yenyewe....
 
it myt b true bt i think women should uz the words 'SOME OF THE MEN' instead of judging dat ol men are lyk dat...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…