Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Rafiki sio vizuri, salama tu.. wengine mika na miaka ma ex fresh tu wala hamna kukumbushia..
Rafiki unanichanganya ujue. Nini shidda aisee? πŸ˜€πŸ˜€

Hongera zako japo mko kumi kwa mmoja ujue rafiki. Wengi ukiona wanavisalamu visoisha ujue wameenda wakapatikana huko hivyo wanataka kurudisha majeshi.
 
😁😁😁😁 dalili ya mvua mawingu, ukiona anakuja ghafla ghafla unamkataa, ujue tayari hamu zimempata na hana pa ku pelekea anaanza bahatisha
 
Upuuzi tu kuwa na namba za ex wako kama lengo lilikuw mapenzi na sasa hakuna mapenzi sasa salamu za nini kama sio upopoma!
🀣🀣
Wanadai (ETI) kama mliachana kwa amani bila ugomvi hakuna haja ya kutowasiliana. Sasa najiuliza kama kulikua na amani bila magomvi, kwanini mliachana???!!! πŸ€·β€β™€οΈ πŸ€·β€β™€οΈ
 
sema wanadai mechi za marudio huwa ni kali sana, kila mtu anataka kutawala mchezo kama kukamianaaa sema ndio haifai rafiki unakuta unaanza haribu unachojenga tena
Hahahaaaa. Nilijua tu huo uzoefu wa ukaribu na Maex zako lazima eksipiriensi kama hii uwe nayo rafiki. πŸ’ƒπŸ’ƒ

Halafu ukasemaje vile πŸ˜‰ "Miaka na miaka fresh tu wala hamna kukumbushia" teh teh.
 
🀣🀣
Wanadai (ETI) kama mliachana kwa amani bila ugomvi hakuna haja ya kutowasiliana. Sasa najiuliza kama kulikua na amani bila magomvi, kwanini mliachana???!!! πŸ€·β€β™€οΈ πŸ€·β€β™€οΈ
Shangaa na wewe my dear. πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahaaaa. Nilijua tu huo uzoefu wa ukaribu na Maex zako lazima eksipiriensi kama hii uwe nayo rafiki. πŸ’ƒπŸ’ƒ

Halafu ukasemaje vile πŸ˜‰ "Miaka na miaka fresh tu wala hamna kukumbushia" teh teh.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ rafiki, mie nimesikia tu kwa wengine.. mie na ma ex zangu mwiko kukumbushiana na tunakutanaga maeneno ya wazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…