Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
- Thread starter
- #81
[emoji15]Kwanini unadate na demu anaitwa Rose? Jiheshimu we mzee
Wakina Catherine wameisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]Kwanini unadate na demu anaitwa Rose? Jiheshimu we mzee
Wakina Catherine wameisha?
Lol.Shida na raha tu
Rafiki unanichanganya ujue. Nini shidda aisee? 😀😀Rafiki sio vizuri, salama tu.. wengine mika na miaka ma ex fresh tu wala hamna kukumbushia..
Eti kijana wa Hovyo hovyo. What a name rafiki? LolJamaa yake atajuje kama mie ni EX..? atatambulishwa tu kama kaka rafiki
😁😁😁😁 dalili ya mvua mawingu, ukiona anakuja ghafla ghafla unamkataa, ujue tayari hamu zimempata na hana pa ku pelekea anaanza bahatishaRafiki unanichanganya ujue. Nini shidda aisee? 😀😀
Hongera zako japo mko kumi kwa mmoja ujue rafiki. Wengi ukiona wanavisalamu visoisha ujue wameenda wakapatikana huko hivyo wanataka kurudisha majeshi.
😁😁😁😁😁😁 acha tu Rafiki kila jina ambalo nilimpa mod ananiambia limetumikaEti kijana wa Hovyo hovyo. What a name rafiki? Lol
Ila kweli hawa akina neema ni hatari hadi wamejiita Ney.Hawawashindi wakina Neema.. hivi unajua mwaka huu wakina neema wamesababisha hadi vifo
Kwa kweli aisee rafiki.😁😁😁😁 dalili ya mvua mawingu, ukiona anakuja ghafla ghafla unamkataa, ujue tayari hamu zimempata na hana pa ku pelekea anaanza bahatisha
Hahahaaaa. Haya bana rafiki mie nipo. 🤝😁😁😁😁😁😁 acha tu Rafiki kila jina ambalo nilimpa mod ananiambia limetumika
sema wanadai mechi za marudio huwa ni kali sana, kila mtu anataka kutawala mchezo kama kukamianaaa sema ndio haifai rafiki unakuta unaanza haribu unachojenga tenaKwa kweli aisee rafiki.
Haya rafiki na mie nipo napambana na maandalizi ya mashamba tu 😁😁Hahahaaaa. Haya bana rafiki mie nipo. 🤝
🤣🤣Upuuzi tu kuwa na namba za ex wako kama lengo lilikuw mapenzi na sasa hakuna mapenzi sasa salamu za nini kama sio upopoma!
Hahahaaaa. Nilijua tu huo uzoefu wa ukaribu na Maex zako lazima eksipiriensi kama hii uwe nayo rafiki. 💃💃sema wanadai mechi za marudio huwa ni kali sana, kila mtu anataka kutawala mchezo kama kukamianaaa sema ndio haifai rafiki unakuta unaanza haribu unachojenga tena
Poa poa rafiki nami niko mbioni itabidi nikusake eti.Haya rafiki na mie nipo napambana na maandalizi ya mashamba tu 😁😁
Shangaa na wewe my dear. 😅😅🤣🤣
Wanadai (ETI) kama mliachana kwa amani bila ugomvi hakuna haja ya kutowasiliana. Sasa najiuliza kama kulikua na amani bila magomvi, kwanini mliachana???!!! 🤷♀️ 🤷♀️
😂😂😂😂 rafiki, mie nimesikia tu kwa wengine.. mie na ma ex zangu mwiko kukumbushiana na tunakutanaga maeneno ya wazi tuHahahaaaa. Nilijua tu huo uzoefu wa ukaribu na Maex zako lazima eksipiriensi kama hii uwe nayo rafiki. 💃💃
Halafu ukasemaje vile 😉 "Miaka na miaka fresh tu wala hamna kukumbushia" teh teh.
Hahahaaa. Toka hapa weewe.😂😂😂😂 rafiki, mie nimesikia tu kwa wengine.. mie na ma ex zangu mwiko kukumbushiana na tunakutanaga maeneno ya wazi tu
Karibu sana rafiki.. nitafurahi sana tukisakana.. maisha naona yanahitaji kuongeza speedPoa poa rafiki nami niko mbioni itabidi nikusake eti.
😁😁😁😁 huwezi amini tu rafiki.. sema ukaribu sana mnajikuta mnakaribisha ibirisiHahahaaa. Toka hapa weewee?
Hahahaaaa. Poa poa rafiki.Karibu sana rafiki.. nitafurahi sana tukisakana.. maisha naona yanahitaji kuongeza speed