Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani.
Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe.
Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi kuzidi hii?