Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Dar - Kibaha - Mlandizi ni kibokoNimekuja kaskazini. Kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani.
Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazma usimamishwe.
Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi kuzidi hii?View attachment 2778911
We ni mzoefu ase kha 😄Kutokea Moshi wanaanzia pale Meimoria, then kabla hujafika sadala wapo hapo harsho, njoo mpaka boma utawakuta, ukitoka boma utawakuta wametia timu kwa wasomali pale na siku hizi kwa wasomali wameweka barrier kabisa 😅😅😅 ukitembeza chuma vizuri ukishamalishaza zile kona utawaona hao hapo king'ori, ukishafika KIA lazima kama kawa utawakuta wamepigisha gari pembeni zinakaguliwa.
Ukitoka kia ukafika Njia ya ng'ombe napo wapo.
Toka njia ya ng'ombe utakuja kuwakuta wengine maji ya chai, kikatiti wanatia timu mara moja moja.....
Usariver, Tengeru, Leganga, kwa shabani na kwa mrefu hapata birikagi, ila philips na sanawari mpaka miazini lazima wawepo kama kawa.....😅😅😅 hii route ina traffic jam ya watu na watu wa arusha moshi huwaga askari asipokaa lazima wapitishe magendo na hata uwepo wao bado ni pazia.
Njau hii barabara ni muhimu japo kuna wa kukagua magendo na wa usalama barabarani ila hawa traffic wamejaa njia nzima.
Iringa ni balaaNimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani.
Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe.
Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi kuzidi hii?
Nilikua na mpango likizo hii nipite huko sasa nimeshaghairi. Kwa uendeshaji wangu ntakula sana cheti!!!Kilometa 5 nyingi sana…wanaachana umbali wa mita zipatazo 100 au 200.
Bila kuwa poti mwenzao Arusha-Moshi hutoboi bila kuacha ya kipigia kiwi..
Na kubambikiwa speed zaidi ya 50 kwenye tochi zao ni kawaida kabisa..
Sahihi kabisa, nimeshangaa amesema 5km! Traffic wako kila baada ya mita ulizoainisha, mwendo wa taratibu kama unasindikiza harusi hata barabara za line nne zinakosa maana.Kilometa 5 nyingi sana…wanaachana umbali wa mita zipatazo 100 au 200.
Bila kuwa poti mwenzao Arusha-Moshi hutoboi bila kuacha ya kipigia kiwi..
Na kubambikiwa speed zaidi ya 50 kwenye tochi zao ni kawaida kabisa..
Noma sana mkuu.We ni mzoefu ase kha 😄