Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

Status
Not open for further replies.
Chunguza ana pesa huyo demu na anamilki hotel tamu kinoma sema siitaji kazi kwako kuitafuta
Wee shost hebu niache, Uwoya yupi mwenye hotel? Huyu aliyezaa na ndiku? Mama krish? ?au yupi?

Kawadanganye washamba wenzio, uwoya huyu ambaye anajimbeleza na kujishaua kwa The Don asiachwee, eti ana hela? Au kulipa 4m masaki alikopangaa ndo ana hela?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna woiiiiih
 
Hayo umeyasema wewe uwoya ni mrembo na ana hela sana uwezo wa kumlipa to yeye kwa miaka 1000 ijayo anao!

 
Uzee una muandama nafikiri baada ya uchaguzi 2025 atakua zilipendwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom