Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

Status
Not open for further replies.
Wee shost hebu niache, Uwoya yupi mwenye hotel? Huyu aliyezaa na ndiku? Mama krish? ?au yupi?

Kawadanganye washamba wenzio, uwoya huyu ambaye anajimbeleza na kujishaua kwa The Don asiachwee, eti ana hela? Au kulipa 4m masaki alikopangaa ndo ana hela?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna woiiiiih
Nani shost yako??!!🙄🙄🙄🙄 halafu kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kuongea kitu ambacho hukijui wewe??!!!no research no speak
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom