Hivi kuna celebrity wa kike mrembo na mwenye hela kuliko Irene Uwoya?

Status
Not open for further replies.
Anamiriki nini?biashara gani?kampuni gani?au hizo nguo za kupigia picha?
Wenye hela hawajitangazi,utaona matokeo tu,huyu na mwenzie kajala,wao mtaji ni misambwanda yao tu,Hawa ni. Matajiri wa "Instagram tu"zaidi ya udangaji,they have nothing tangible,huwezi kuwalinganisha na Lady jay d,watapita kama alivyopita Wema Sepetu,watu walizani ana pesa za kwake kwa swaga zake,kumbe Kuna buzi linachunwa,lilipokata kamba,na yeye chaliiii,it's a matter of time for these women,
 
Mwambieni muda n mwalimu haurud nyuma UCHUMI WAKE WA KATIKATI NAO UTAZEEKA amuulize WEMA SEPETU pale KATIKATI TAYARI PAMEANZA KUVUNDA
 
Naendelea kusoma comments kwa umakini kabisa
 
Usimfananishe uwoya na vitu vya hovyo!
 
Back
Top Bottom