Yani unamcheka Mwenzio alietoa elfu 10, wewe uliyetoa Laki 5 unajiona Mjanjaaaa!.Elfu kumi tu unafungulia uzi, wenzako sekondarí tunatoa had laki tano na risit hatujui tena sisi ndo tunabembeleza, tujifunze watz hakuna cha bure
Kama unamtoa saint Kayumba unampelek Cambridge lipa hiyo hela, mbona ndog sana huko unakompeleka c gharama tyr, utamnunulia unoform mpya tena ikiwezeka drafter, utamsafirisha
Hayo yote zaid ya afu kumi
So toa wala isikuume roho
Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumwamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real..
Issue sio kiasi Cha pesa, Cha msingi Je ni halali ? Kama huwezi kufuatilia Mambo madogo., ujue Hata haki zako zingine hutakuwa na ujasiri wa kufuatilia.Elfu kumi tu unafungulia uzi, wenzako sekondarí tunatoa had laki tano na risit hatujui tena sisi ndo tunabembeleza, tujifunze watz hakuna cha bure...
Hizo za maji kwa watumishi.....Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumwamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real...
Lakini la msingi lipa 10k hamisha mtoto, hizo nguvu zoote hadi faida elimu kisa 10k ....sasa kwenye ada itakuwajeIssue ni Je? Hizo GHARAMA zipo kisheria? Ndio msingi wa hoja yangu. Kama hujui pita tu
haipo kisheria itakua utaratibu tu wa shule Ila pia ukumbuke uhamisho siku hizi unafanyika Kwa njia ya mtandao. Mwalimu atahitaji kuwa na hela ya mawasiliano na shule anayotokea. Unataka shule ikugharamikie ? kingine cha kujua hela ya capitation ya mwanao inaenda kwenye shule aliyopangwa hivyo hapo unamuhamishia atakua burden Kwa shule na mwisho kupewa nafas ya kuhamia ni hisani mkuu anaweza kukataa piaNimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real?
Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae.
Lakini Kama itakuwa sio kweli kesho namuibukia fasta. Elfu kumi sio mchezo.
Hela ya capitation fafanua zaidi. Ni ipi hiyo na inahusikaje katika uhamishohaipo kisheria itakua utaratibu tu wa shule Ila pia ukumbuke uhamisho siku hizi unafanyika Kwa njia ya mtandao. Mwalimu atahitaji kuwa na hela ya mawasiliano na shule anayotokea. Unataka shule ikugharamikie ? kingine cha kujua hela ya capitation ya mwanao inaenda kwenye shule aliyopangwa hivyo hapo unamuhamishia atakua burden Kwa shule na mwisho kupewa nafas ya kuhamia ni hisani mkuu anaweza kukataa pia
ni ruzuku ya kuendeshea shule, inatolewa Kwa kuangalia idadi ya wanafunzi, mwanafunzi anapohama ule mwaka wa Kwanza anakua anahesabiwa shule aliyotoka na hela yake inaenda hukoHela ya capitation fafanua zaidi. Ni ipi hiyo na inahusikaje katika uhamisho