EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Unampeleka shule ya msingi Mashujaa sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu.Mbona kakutajia pesa ndogo sana hiyo?????
Unajua gharama za bundles na nauli??????au unafikiri hilo kadi la mwanao linajipeleka lenyewe halmashauri?
TAFUTA HELA.
Ni nje ya sheriaIssue ni Je? Hizo GHARAMA zipo kisheria? Ndio msingi wa hoja yangu. Kama hujui pita tu
Una ushahidi kuwa ulimpa Hela?Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real?
Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae.
Lakini Kama itakuwa sio kweli kesho namuibukia fasta. Elfu kumi sio mchezo.
Embu twambie kwanza process nzima mpaka umetoa Hela Ili tujue kama ni halali au lah? Pia uhamisho umeshakamilika au Bado?Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real?
Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae.
Lakini Kama itakuwa sio kweli kesho namuibukia fasta. Elfu kumi sio mchezo.
HahahaMbona kakutajia pesa ndogo sana hiyo?????
Unajua gharama za bundles na nauli??????au unafikiri hilo kadi la mwanao linajipeleka lenyewe halmashauri?
TAFUTA HELA.
Issue sio kiasi Cha pesa, Cha msingi Je ni halali ? Kama huwezi kufuatilia Mambo madogo., ujue Hata haki zako zingine hutakuwa na ujasiri wa kufuatilia.
Na hapa wabongo ndio tunafeli. kwani tozo ni hela nyingi? Mbona imeleta msuguano mkubwa
Hakuna gharama, hiyo hela ya kutuliza vumbi la chaki tu.Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real?
Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae.
Lakini Kama itakuwa sio kweli kesho namuibukia fasta. Elfu kumi sio mchezo.
Hiyo pesa ya bando kuingilia kwny mfumo kumhamisha mtoto.Issue sio kiasi Cha pesa, Cha msingi Je ni halali ? Kama huwezi kufuatilia Mambo madogo., ujue Hata haki zako zingine hutakuwa na ujasiri wa kufuatilia.
Na hapa wabongo ndio tunafeli. kwani tozo ni hela nyingi? Mbona imeleta msuguano mkubwa ktk jamii
Fomu, picha, mtandao na nauli wilayani umeshughulikia mwenyewe?? Kama unaenda nje ya Mkoa mpk mkoani pia.Hii nadhani ni Gov school. Issue yangu NI private school.