Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

CONTRARIAN

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
982
Reaction score
3,137
Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu..

Sizungumzii hawa wanaojaribu ku mimic jina ili kulaghai wengi, japo wengi wanajaa kweli..

Sizungumzii VICBOSS

Sizungumzii VICCCBSS
Pia Sizungumzii VICOBOS.

Nazungumzia VICOBSS,

Kuna Brand Nyingine kali kama
Gentreman Vibes
VIP
Massimo dute etc ila naona bado anakalishwa na vicobss,
Hizi nyingi bei yake inachezea kwenye 40k kwa wastani, hizi at least unafua bila kupungua ubora wake kwa haraka hasa ukizingatia Maji mazuri, na kupunguza mashart sijui ya jua na pasi.

Binafsi kwa VICOBSS nimewakubali, ni mda mrefu sasa nazitumia hazijaniangusha...

Jee KWA UZOEFU WA KUIVAA kuna mwenye kujua brand bora zaidi, tujuzane.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wale ambao tukifika tunaivuta vuta tunaifikicha kama chapati

Tunaulizia bei tunaomba punguzo tunalipa tunasepa

nguo tunakuja kujua jina siku nyingine kabisa

Tena unaijua jina baada ya kugundua ni feki ili usije kurudia makosaπŸ˜‚




pita na like kimya kimya
 
Kuna duka moja pale karibu na lumumba ofisi ndogo CCM nilingia sikumbuki jina Shirt 290,000 suruali cardet 295,000 brand ni Tommy
huwezi kuta hiyo brand kariakoooπŸ˜‚πŸ˜‚


duka lingine liko masaki, i think na Mlimani city ndo waweza kuta brand ya Tommy πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaovaa sasa hata hawpigi kelele kama wavaa cadet za zara na Jeep
 

[emoji16][emoji16][emoji16]tunangalia size af bado tunajipima shingoni[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…