Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

Kariakoo kuna duka moja la mpemba miaka ya 2005 alikuwa anauza nguo original kutoka UK na France sikumbuki jina . Siyo kila duka Kariakoo wanauza counterfeit .
Huwezi kuta kitu cha maana kinauzwa Kariakoo. Inawezekana alijaribu akashindwa akahama.
 
Huwezi kuta kitu cha maana kinauzwa Kariakoo. Inawezekana alijaribu akashindwa akahama.
Bado sijaelewa point yako ni nini. Kariakoo hakuna wateja wenye fedha ya kununua bidhaa quality? Kariakoo kuna biashara ambazo si halali ? Nini kinasababisha mfanyabiashara ashindwe kuuza bidhaa bora katika eneo la Kariakoo?
 
1710535996981.png
 
Back
Top Bottom