mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Huu sasa ni ukoloni uliopitiliza. Umri wa miaka 17? Haukui au umedumaa?Sana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.