Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu..
Sizungumzii hawa wanaojaribu ku mimic jina ili kulaghai wengi, japo wengi wanajaa kweli..
Sizungumzii VICBOSS
View attachment 2931783
Sizungumzii VICCCBSS
View attachment 2931934
Pia Sizungumzii VICOBOS.
Nazungumzia VICOBSS,
View attachment 2931939
Kuna Brand Nyingine kali kama
Gentreman Vibes
View attachment 2932015
VIP
View attachment 2932012
Massimo dute etc ila naona bado anakalishwa na vicobss,
Hizi nyingi bei yake inachezea kwenye 40k kwa wastani, hizi at least unafua bila kupungua ubora wake kwa haraka hasa ukizingatia Maji mazuri, na kupunguza mashart sijui ya jua na pasi.
Binafsi kwa VICOBSS nimewakubali, ni mda mrefu sasa nazitumia hazijaniangusha...
Jee KWA UZOEFU WA KUIVAA kuna mwenye kujua brand bora zaidi, tujuzane.