The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
umesema brand ya boss haipo kariakoo. Nikakwambia hivi unatania au upo seriously ukaiashia kucheka.nije wapi π
Hahaha umeongea kitu ambacho huwa naongea kila wakatiUzuri watazamaji hawawezi tofautisha Kati ya kadet ya 200k na 17k. Mimi huwa navyaa za 17k na nadunda mjini.
Asante
2007? Umetisha mzee...πSana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.
ukusikia ukorofi ndio huu sasaπKali kuliko zote zinaitwa "Trinidad moruga scorpion".
Wapi kwa dar wanauza kadeti za mtumba nzuruKadeti ni Mtumba Original tu, kama una kuanzia 45,000/= nikupe kadeti ya TEXAS na ENGLAND uivae mpaka uchoke na haipauki....jinsi haisogei hapo
Sijui kwa Dar, najua kwa Arusha...kuna Mkenya anauzaWapi kwa dar wanauza kadeti za mtumba nzuru
Ha ha haShida ya hizo brand mtu akivaa kopi ya elfu 40 na wewe uliyevaa ya laki 2 nyote kwenye harusi mtaonekana mmenunua elf 20 tu.
Hao si wapo Mlimani CityHivi bado woolworths wana operate hapa dar kuna kipindi kulikua na duka lao kule posta hawa wa South nao wanauza vitu quality ya ulaya mali safi. Hata arusha walikua na duka lao pale karibu na TFA
Mkuu ungetutajia hizo brand ingekuwa poa sanaVICBOSS wako vizuri ila trust me kuna brand nzuri kuliko sema kibongobongo bado kwasababu ya price
Hajapata fungusi hiyo Kweli!Sana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.
Boxer miaka 17...Iyo hatari sheheSana .nina boxer ya Louis Vuitton nilinunua mwaka 2007 mpaka leo naivaa na haijatoka hata kipande cha uzi nikiivaa utasema nimenunua jana. Aise kuvaa vitu original raha sana tatizo bei zake wengi hatuziwezi.
Huwezi amini ipo naingaliaga tu kama kwenye jumba la makumbusho siku nikijisikia naivaaBoxer miaka 17...Iyo hatari shehe
πππ sijapataHajapata fungusi hiyo Kweli!
Zamani walikua na duka lao posta karibu na iliyokua embassy hotelHao si wapo Mlimani City
hahahah mjin hapa,hakuna muda wa mtu kukucheki ulichovaa ni OG au feki,muhim umetokelezea na pafyum yako ya kupima maisha yanaendelea πHahaha umeongea kitu ambacho huwa naongea kila wakati
Unavaa kitu og mtu anachukulia ni ya kawaida tu