Hivi kuna kipi zaidi Kati ya Babalevo na Diamond?

Hivi kuna kipi zaidi Kati ya Babalevo na Diamond?

Ngissu gii

Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
20
Reaction score
36
Tuliona Babalevo akijinadi kuwa watu wanamuonea wivu kisa kanunuliwa gari ya million 26 na Diamond pia alijisifu kulipiwa mamilioo kwenye video ya shusha ambayo bado .kwa msisitizo zaidi akasema atamuomba boss wake diamond amjengee kanyumba kadogo kakuishi.jana Tena kawapeleka watoto wake wawili kwa diamond awalipie ada diamond kakubali kasema atalipa
 
Mungu anisamehe ila hawa watu wa kigoma mi naonaga kama akili zao haziko sawa sawa. Sijui ndio yale mabomu ya Burundi au nini.. kuna mwingine yupo kule clouds dah mambo ya leo anaongea kesho ya kesho anaongea keshokutwa!
 
Nataka nimnunulie gari Mama Gaude wangu na yeye awe anakwenda sokoni kununua viazi mbatata na nyanya kwa motokaa. Na vile tunavyoishi uswahilini, Mama Gau atakuwa matawi ya juu kuliko mawingu, huu ndio mwaka wake, Uswazi watakoma 😂
Yaani we acha tu
 
Back
Top Bottom