Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sio mzuri wa dini ila kuna maelezo yanaeleza hayo.
Unakuta kuna koo au familia yani wao kupata kazi ni kawaida ila wengine hata wafanyeje ni ngumu.
Nimeshuudia familia moja yani wao wote kama wanangekewa na wanazikataa yani jamaa anaacha kazi na kutafuta kazi nyingine na alipoacha wanambembeleza, sasa fanya wewe kuacha kazi ndio utajua magazijuto sio mzee majuto.