Huko duniani Zipo nyingi tu,kaangalie all the queens men ya TYLER PERRY utaona Seran anaifahamu hii...
Na hyo ni mifano tu lakin kuna nchi kama netherland,poland ule ukanda wa scandnavia issue ya ngono ni basic needs kwa kila raia,ndio maana vilema wanapelekewa watu wa kufanya nao ngono tena serikali ndo inalipia hiyo huduma..