joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Nilishawahi kumsikia Calisah kwamba yeye mwenyewe alikuwa anjiuza kwa mishangazi. So inawezekana.Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?