Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

Walai sikuelewa mwanzoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»
Bora umenifungua macho kumbe alimaanisha wanaume wanaojiuza na kununuliwa na wanaume, kweli nimeanza kuzeeka sasa,

Ila yapooo hayo madanguro mimi sina connection ningemsaidia
 
Usimsikilize huyo. Mwenye mada kaspecify kabisa wanaume wanaojiuza halafu wanawake wanaenda kuwanunua. Sema huyo kataka kuvulagiza wenzie tu.
 
Usimsikilize huyo. Mwenye mada kaspecify kabisa wanaume wanaojiuza halafu wanawake wanaenda kuwanunua. Sema huyo kataka kuvulagiza wenzie tu.
Halafu kweli imebidi nisome tena kichwa cha uzi, jamani sasa mbona wanamshambulia kwa mijineno mikali kama vile kauliza jambo baya, wakati humu kuna mada kibao wanaume wanapeana machimbo ya wanawake wanapojiuza.
 
Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
Kweli maisha yamekuwa magumu aisee πŸ˜‚ πŸ˜… πŸ˜‚ πŸ˜… πŸ˜‚ πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜‚
 
UKO sahihi wacongo ndio zao, na zile cream zao wakishajichubua huwa wanawaokota mademu wasio jielewa, Kuna mkongo mmoja aloitwa sharo saloon alikula mke wa mtu mwenye mke akamwambia potea kabisa nisikuonege machon pangu, sijui alienda wapi
 
WAKONGWE WANAJIFANYA TU BURE KABISA, KUNA JAMAA HUMU MWENZAO ALIANZISHA UZI ETI ANATOA HUDUMA YA KUWAFIKISHA WANAWAKE KILELENI, NILICHUKIA BALAA, LAKINI HAKUNA MEMBER HATA MMOJA ALIE MZINGUA MSHIKAJI KISA MKONGWE HUMU, LEO MNAMZINGUA HUYU, SIO POA.
 
Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
Huna haja kwenda Globally hapo Znz Tu kuna watu wanaenda kugonga Vibibi. Wamasai ama Watu wanaojifanya wamasai wanaume they both wanafanya na kufanywa.
 
Muulize D. voice wa wasafi nani anamuuzaga akupe connection.

Ila uvumilie sisi wanawake usipopafomu vizuri tunakusindikiza na makonzi. 🀣

Hela ya mwanamke chungu we kijana.
D.Voice anauliza "utaweza kuacha kodi ya meza laki" wasanii wa kiume wengi sana wanajiuza hasa hao A list, wanagharamiwa na mijimama yenye hela zao halafu kimya kimya.
 
UKO sahihi wacongo ndio zao, na zile cream zao wakishajichubua huwa wanawaokota mademu wasio jielewa, Kuna mkongo mmoja aloitwa sharo saloon alikula mke wa mtu mwenye mke akamwambia potea kabisa nisikuonege machon pangu, sijui alienda wapi
Wanasifika kwa kucare na viuno, wanawake hawawafati bure, wanapewa mambo matamu na wao wanamwaga mihela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…