joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Nilishawahi kumsikia Calisah kwamba yeye mwenyewe alikuwa anjiuza kwa mishangazi. So inawezekana.Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
Ndio maana aiseeπ π π
ππππMuulize D. voice wa wasafi nani anamuuzaga akupe connection.
Ila uvumilie sisi wanawake usipopafomu vizuri tunakusindikiza na makonzi. π€£
Hela ya mwanamke chungu we kijana.
A list wanajiuza kwa mafogo huko Dubai na kwingineko, huku Bongo wanahonga ving'asti.D.Voice anauliza "utaweza kuacha kodi ya meza laki" wasanii wa kiume wengi sana wanajiuza hasa hao A list, wanagharamiwa na mijimama yenye hela zao halafu kimya kimya.
Wacongo au washikaji wenye saloon za kike wanahongwa sana, eti hela ya DEMU ngumu Kuna wanna wanazila sana tuWanasifika kwa kucare na viuno, wanawake hawawafati bure, wanapewa mambo matamu na wao wanamwaga mihela.
Kuna jamaa wa saloon kwa macho yangu, alihongwa gari na kidemu, mnasema hela za mwanamke ngumu kuila, hao jamaa wanazila sana tena na kubembelezwa juuWanasifika kwa kucare na viuno, wanawake hawawafati bure, wanapewa mambo matamu na wao wanamwaga mihela.