Hivi kuna maelezo yeyote ya kitaalamu yaliyotolewa na mamlaka husika juu ya changamoto ya mtandao

Eti kivague tweet 😂😂😂😂
 
Kenya hawategemei cable Kwa asilimia 100% wao wa backup kupitia satellite TZ tunategemea cables 100%
Na kama Tz ndio imeathirika zaidi basi itakuwa tulikuwa tunategemea cable moja au mbili ...
 
Nape ametuzibia na mtandao wa elon sasa hivi tungekuwa tunapeta na satellite
 
Kenya hawategemei cable Kwa asilimia 100% wao wa backup kupitia satellite TZ tunategemea cables 100%
Na kama Tz ndio imeathirika zaidi basi itakuwa tulikuwa tunategemea cable moja au mbili ...
Satelite gani au unaongelea starlink? Kuathirika kunakozungumziea hapa si nani ana backup bali ni wapi damage ya hizo cable ilikata mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Hiyo cable ilikata mawasiliano ya internet yanayotumia hiyo cable kwa Tanzania kwa kiasi kikubwa kuliko nchi nyingine kati ya hizo nchi 12.
Miaka 3 nyuma ilitokea Kenya nao wakakumbana na shida japo ilikuwa fixed within a day lakini shughuli nyingi zilisimama
 
Nchi yetu, sana sana kwenye utumishi wa, umma, kumejaa watu waliojaza nadharia tu vichwani, wana elimu za kwenye makarstasi, wamefika hapo kwa kudesa tu, tangu shule yq msingi!
 
Nini maana ya availability in Technology...
Kama unasema hutongelei backups sasa kwenye technology ni muhimu Sana Lazima iwepo hakuna sehemu watu wapo serious wanadepend fully in one service..
Sasa kama Kenya wanaroute ya backup na wanaweza restore haraka basi wako Safi because on Sunday wote East Africa walipata shida ila wao wakarudi vyovyote vile iwe star link or other cables backup ni muhimu na ziwe nyingi iwezekanavyo
 
Narudia tena wakati wanasema athari walikuwa wanaongelea sehemu ya hiyo cable iliyopata uharibifu mkubwa.
 
Narudia tena wakati wanasema athari walikuwa wanaongelea sehemu ya hiyo cable iliyopata uharibifu mkubwa.
Naona hutuelewani ww unachozungumzia ni nini na solution ni nini?

Athari zipo Kila siku hiyo siyo ya Kwanza wala ya mwisho..
Sasa hapo unataka wafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…