Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
 
Hizo sehemu ukitoa chanika ndo sijaishi

Ila sio uchawi unaouona huko Ila kuna negtaive energy ukitaka uishi vizuri unabidi Ku hide 90% ya maisha yako

Ukiiishi huko ukawa MTU wa kubrag utapaona hapafai kwakuwa jamii za huko zimeathirika na umasikini na jamii za huko hazijaelimika . kwahiyo unaweza kuchukiwa kisa tu umevaa raba mpya.

.
 
upanga ndio kinara kuna nyumba hazikaliki, nionyeshe huko unakosema nyumba wasioweza kuishi watu
 
Ukiona sehemu wamejazana watu kutoka Pwani (mtwara ,lindi ,bagamoyo ,tanga etc) jua sehemu hiyo siyo ya kuweka makazi ,hapo uchawi ni mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…