Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

Mtoe na mofano, sio kutaja maeneo tu. Uchawi ni nini? Huko ulipotaja kukoje?
Sio umekosa pesa za kujenga ukasingizia uchawi kumbe ni uzembe wako.
 
Kama uvyoona takataka za mikoani zooote zipo dar, tambua wale watu waliokuja kutoka huko wamkuja na uchawi,

Kuna,watu hulo kwao wamefukuzwa kwa sababu ya uchawi, wamekimbilia dar
 
Chanika wale Wazaramo ndio wachawi.
Mi nimeishi sana kule.
Ninashuku uchawi kule, lakini sikuona kitu .
Sikutafuta. Sikutafuta kujua nani mchawi
Lakini hiyo siyo maana ya uchawi,kwamba mtu mmoja atakuwa mchaei.
Uchawi ni pale watu generally wanapokuwa washirikina.
Yaani wale watu wana Dini ya asili,kama wamekwenda kwa mganga au hawakwenda.
 
Kweli mkuu watu wa pwani wajinga kweli yani wao wanataka wote muishi kimasikini ndiyo maana maeneo yao wanayoishi nyumba zao zinakua za hovyo. Yani ata wakipata pesa hawazifaidi yani wataogopa ata kujenga nyumba nzuri. Na wanatabia ya kurogana ili vijana wao wakike wasiolewe na wawe wakaa nyumbani miaka yote.

100% True mkuu ,wajinga sana hao watu.
 
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
Kwan ao wachawii wanasemaje...
 
Waswahili na watu wenye maisha ya hali ya chini wapo wengi sana huko.
 
Back
Top Bottom