Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Watu ni walewale na haya matukio mjini ni mengi sana.
Mkuu songea sitakaa kupasahau HAO JAMAA ni wachawi ACHA TU YANI ukichomejea TU ukakutana na wale wazee jiandae kupiga jembe shifting ya usikuHizo sehemu ukitoa chanika ndo sijaishi
Ila sio uchawi unaouona huko Ila kuna negtaive energy ukitaka uishi vizuri unabidi Ku hide 90% ya maisha yako
Ukiiishi huko ukawa MTU wa kubrag utapaona hapafai kwakuwa jamii za huko zimeathirika na umasikini na jamii za huko hazijaelimika . kwahiyo unaweza kuchukiwa kisa tu umevaa raba mpya.
.
Kuchomekea TU unafanyishwa jalamba la hatariMkuu songea sitakaa kupasahau HAO JAMAA ni wachawi ACHA TU YANI ukichomejea TU ukakutana na wale wazee jiandae kupiga jembe shifting ya usiku
Ukiona sehemu wakina Mangi wamenyoosha mikono wakasaliti amri hapo ujue sio mchezoHahahah nimependa hapo kwa mangi, watu wanafanya figisu hadi mangi mwenyewe anasubirii
Hivi popobawa aliishiaga wapi DIVISHENI FOONasikia hata Lucas Mwashambwa alikabidhiwa mikoba na babu yake ndo anayotamba nayo mjini.
Bold wale wa kutoka Ukondeni, Maku sana hao viumbe yaani hawafai wanaweza kukufanya ndondocha mkuuUkiona sehemu wamejazana watu kutoka Pwani (mtwara ,lindi ,bagamoyo ,tanga etc) jua sehemu hiyo siyo ya kuweka makazi ,hapo uchawi ni mwingi sana.
Wamejaa tabora hao tena mchana kweupeeeHivi popobawa aliishiaga wapi DIVISHENI FOO
Yani unaweza kurogwa kwa kufungua biashara ya mkaaHizo sehemu ukitoa chanika ndo sijaishi
Ila sio uchawi unaouona huko Ila kuna negtaive energy ukitaka uishi vizuri unabidi Ku hide 90% ya maisha yako
Ukiiishi huko ukawa MTU wa kubrag utapaona hapafai kwakuwa jamii za huko zimeathirika na umasikini na jamii za huko hazijaelimika . kwahiyo unaweza kuchukiwa kisa tu umevaa raba mpya.
.
Kule kuna wmakomde wengi.. wanawanga ******* kule. Mm sikai hata bure kule miande sijui mgeninani mana ndo home kuleKIJICHIII kumekaa kizungu majumba mazuri mageti maghorofa lkn wanga washirikina kibaoooooo wale wa viwango vya juu nadhan bora mbagala
Kweli mkuu watu wa pwani wajinga kweli yani wao wanataka wote muishi kimasikini ndiyo maana maeneo yao wanayoishi nyumba zao zinakua za hovyo. Yani ata wakipata pesa hawazifaidi yani wataogopa ata kujenga nyumba nzuri. Na wanatabia ya kurogana ili vijana wao wakike wasiolewe na wawe wakaa nyumbani miaka yote.Hao wanarogana kwenye biashara lakini watu wa pwani hata ukinunua katambuga au baiskeli lazima akuroge urudi nyuma.
Sehemu yenye jamii ya Pwani hapafai kuishi wale wanawezana wao kwa wao, wanatabia ya kuleta waganga kwenye Nyumba zao kila mwezi kuzindika.Kule kuna wmakomde wengi.. wanawanga ******* kule. Mm sikai hata bure kule miande sijui mgeninani mana ndo home kule
hakuna watu washirikina kama hao watu wa ushuani. tena hao makafara yao ni hatarii tupu.KIJICHIII kumekaa kizungu majumba mazuri mageti maghorofa lkn wanga washirikina kibaoooooo wale wa viwango vya juu nadhan bora mbagala
Kabisa mkuu.Uchawi ni imani za wajinga.
Ukiona sehemu kuna wajinga wengi tambua imani za uchawi zitakuwa nyingi