Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

Mzee wa kichemchem huko mbeya hamjambo?
 
Hungera kwa kujua
 
ukishaona eneo tuviwanja twa miguu kumi kwa tano sijui saba kwa tano ujue huko full ufukara na wanawaza kufa tu ukiwaambia masuala sijui ya kuwekeza wanakuona jau sana, kwenye nyuzi zangu nyingi nilishawahi kusema huko hata wanipe hek moja bure siendi daadeekiiiiiiiiiii, ogopa sana sehemu ambayo hata wakina mangi hawapo wamejaa wauza mayai tu na baiskeli zao.
 
Hahahah nimependa hapo kwa mangi, watu wanafanya figisu hadi mangi mwenyewe anasubirii
 
Write your reply...jitu linakuchekea kumbe moyoni linakuchukia shenzi kabisa
 
Naona sijapata digger wa nondo, Jamrozik na Norcella 1998 waliwah kuelezea madhara ya ubepari. Wakasema kwamba maendeleo yoyote yakiletwq na ubepari lazima yakae kikabila, kirangi, kidini na kikanda. Hii hata ukiangalia kwemye concept moja inayoelezea binary opposition yani umaskini/utajiri kama ni concept kuu ya maendeleo utaona

Ukiweka mezani utajiri na umaskini na ukiangaza kwa kigezo cha quality na quantity utaona Tanzania ilivyokaa. Yani kuna makabila yanatoa matajiri wengi sana na mengjne maskini kwelikweli. Hivyohivyo ukiangalia kidini, ukizingatia kanda ya kusini na kaskazinj mwa Tanzania, ukiangazia pia hta "battle" ya muafrika na "white" au Asian hapa hapa bongo utaona.

Hii ni case study mojawapo, hayo maeneo ukiangalia yamejaa watu wa dini ya kiislam, kutoka kanda za kusini au pwani wanaotokea makabila ya kizaramo, kimakonde, nk. So kukuta hayo maene ni shanty au slum ni ishara tosha yayakias cha uchumi wao na battle linaloendea chini kwa chini kati ya maskini wenyewe kwa wenyewe ni kupata na kukosa. Hapo nani kapata na nani kakosa au nani akose ndiko kinazaliwa kitu kinaitwa "Envy" au husuda. Na husuda ndio concept kuu ya neno "Uchawi"

Kwa muktadha huu sasa huwezi kuzungumzia maendeleo kama utasema kuhusu uchawi. Na maendeleo hapo juu nimeyatoa kwenye umaskini/utajirikama binary oppositions. HIVYO, ENEO LOLOTE LINALOKUWA NA SLUMS, SHUNTY AU WATU WA KIPATO CHA CHINI ZAIDI NI RAHISI KULIKUTA LINA MAELEZO SERIOUS YANAYOHUSIANISHA HALI ILE YA UMASKINI WA PALE NA DHANA YA UCHAWI
 
kuanzia kona ya charambe mpaka mbande huko maduka ya dawa asili kama yote, unategemea nini hapo!, huko kuota unakabwa ni kawaida tu
 
Dar karibu yote imekaa kikuda mnoo na kiswahili swahili. Na huwezi kutenganisha ukuda&uswahili dhidi ya ujinga, umaskini na imani za kishirikina.

Eneo lolote lile hapo Dar ambalo hapo zamani lilikuwa la ushuani mnoo, kadri watu walipoanza kuwa wengi, ukuda na uswahili ukachukua nafasi. Leo hii, iwe Masaki, Osterbay, Mbezi beach nk. kote uswahili umemea vyema wakati hapo zamani ilikuwa ni ushuani mtupu.
 
Ukae vizuri na Yesu Kristo hakuna uchawi utakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…