Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

Watu ni walewale na haya matukio mjini ni mengi sana.
 
Mkuu songea sitakaa kupasahau HAO JAMAA ni wachawi ACHA TU YANI ukichomejea TU ukakutana na wale wazee jiandae kupiga jembe shifting ya usiku
 
Mkuu songea sitakaa kupasahau HAO JAMAA ni wachawi ACHA TU YANI ukichomejea TU ukakutana na wale wazee jiandae kupiga jembe shifting ya usiku
Kuchomekea TU unafanyishwa jalamba la hatari
 
Ukiona sehemu wamejazana watu kutoka Pwani (mtwara ,lindi ,bagamoyo ,tanga etc) jua sehemu hiyo siyo ya kuweka makazi ,hapo uchawi ni mwingi sana.
Bold wale wa kutoka Ukondeni, Maku sana hao viumbe yaani hawafai wanaweza kukufanya ndondocha mkuu
 
Yani unaweza kurogwa kwa kufungua biashara ya mkaa
 
KIJICHIII kumekaa kizungu majumba mazuri mageti maghorofa lkn wanga washirikina kibaoooooo wale wa viwango vya juu nadhan bora mbagala
Kule kuna wmakomde wengi.. wanawanga ******* kule. Mm sikai hata bure kule miande sijui mgeninani mana ndo home kule
 
Hao wanarogana kwenye biashara lakini watu wa pwani hata ukinunua katambuga au baiskeli lazima akuroge urudi nyuma.
Kweli mkuu watu wa pwani wajinga kweli yani wao wanataka wote muishi kimasikini ndiyo maana maeneo yao wanayoishi nyumba zao zinakua za hovyo. Yani ata wakipata pesa hawazifaidi yani wataogopa ata kujenga nyumba nzuri. Na wanatabia ya kurogana ili vijana wao wakike wasiolewe na wawe wakaa nyumbani miaka yote.
 
Walipo Waswahili ndiyo Uchawi ulipo...!
Ushuani ndiyo Ushirikina ulipo.

Mchawi siku zote ni Masikini tu, Hana uwezo kukaa Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach Wala Mbweni...!
Wenye Pesa wanawahamisha...!

Kutoka Masaki na Msasani mpaka Mbweni, na Sasa Wanahamishwa Mbweni Uelekeo Bagamoyo...!

Temeke ndiyo Nyumbani Kwa Wachawi......! Coz ni maeneo wanaweza kumudu kuishi na hari zao za Umaskini waliochagua.
 
KIJICHIII kumekaa kizungu majumba mazuri mageti maghorofa lkn wanga washirikina kibaoooooo wale wa viwango vya juu nadhan bora mbagala
hakuna watu washirikina kama hao watu wa ushuani. tena hao makafara yao ni hatarii tupu.
 
Uchawi ni imani za wajinga.

Ukiona sehemu kuna wajinga wengi tambua imani za uchawi zitakuwa nyingi
Kabisa mkuu.

Habari za uchawi husikika tu kwa jamij za watu maskini choka mbaya makabwela, mafukara, hohehae, pangu pakavu tia mchuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…