Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

Mtoe na mofano, sio kutaja maeneo tu. Uchawi ni nini? Huko ulipotaja kukoje?
Sio umekosa pesa za kujenga ukasingizia uchawi kumbe ni uzembe wako.
 
Kama uvyoona takataka za mikoani zooote zipo dar, tambua wale watu waliokuja kutoka huko wamkuja na uchawi,

Kuna,watu hulo kwao wamefukuzwa kwa sababu ya uchawi, wamekimbilia dar
 
Chanika wale Wazaramo ndio wachawi.
Mi nimeishi sana kule.
Ninashuku uchawi kule, lakini sikuona kitu .
Sikutafuta. Sikutafuta kujua nani mchawi
Lakini hiyo siyo maana ya uchawi,kwamba mtu mmoja atakuwa mchaei.
Uchawi ni pale watu generally wanapokuwa washirikina.
Yaani wale watu wana Dini ya asili,kama wamekwenda kwa mganga au hawakwenda.
 

100% True mkuu ,wajinga sana hao watu.
 
Kwan ao wachawii wanasemaje...
 
Waswahili na watu wenye maisha ya hali ya chini wapo wengi sana huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…