Hivi kuna maisha baada ya kifo?

sijasema kunaulazima wowote ila kabla hujahoji hiyo nguvu fulani imekujaje hoji hivi unavyoviona into existence vimekujaje?.
Havijaja.

Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo.
kwa bahati mbaya sindio?
No one knows, mpaka pale itakapo thibitika.

Huwezi kusema kuna mtu kaumba vitu vyote halafu huna uthibitisho ulio thibitika.

Unafanya speculations tu.
 
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu; kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama
Kama roho haionekani ulijuaje ipo?

Unasema roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama, Sasa
uliiona wapi na kujua ipo?

Au unaunda dhana za kufikirika tu?

Imaginations just an illusion.
 
Hakuna aliyekwenda na kurudi, subiri ufe ukajionee, mengine ni imani kila mtu na imani yake kwa mujibu wa mafundisho yale aliyoyaamini.
 
Mimi nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu au kiumbe kuishi baada ya kufa/kifo? Na kama ni ndio basi maana ya kufa ni ipi?
Hizo roho ni kiumbe hai? Au ni kitu gani? Kama ni ndio ni kiumbe kama sisi na wanyama na miti nk: basi utatusaidia kutuonesha hao viumbe roho, tunataka hata kwa macho ya mkaa tuione hiyo roho kama hatuwez kuwaona kwa macho ya nyama. Ila chamsingi tujiulize kuhusu hawa viumbe, kama mimi na wanyama hata wadudu wanaweza kuishi baada ya kufa? Na kama ndio sasa kufa maana yake nini?
 
Kwani option yako ni kubet tu..hio ni black n white fallacy, fallacy of improbability na appeal to ignorance and emotion
 
nani kwakuambia death is a cut off.

swali tunapoenda kuifadhi mwili tunasema huu ni mwili wa flani flani huyo flani yuko wapi?.

ufike mahali muelewe mwanadamu is more than a body. unasema huu ni mwili wangu wewe uko wapi hapo
Si ndo mwili asa unauliza wewe uko wapi kivipi...kwani unaulizwa wewe au ..🀣we niambie ukizima moto huo moto unaenda wapi
 
Nzi ana roho? Plasmodium ana roho? Kama anayo inaenda wapi after death..kama hawana Wanaishi vipi bila roho
 
Nakuona DOKTA UCHWARA unatamba na biology yako ya form two.

Cc: DR Mambo Jambo
 
Nilicho na uhakika nacho ni kuwa,
Ipo siku waliokosa haki yao hapa Duniani watarudishiwa
Wewe jiweke tayari kwa kutenda matendo mema kwani siku za mwisho zinatakuwa Ngumu sana!
 
Kinachokufa ni mwili roho bado inakuwapo ni vile tu inakosa cover ya kujipachika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…