Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Hivi kuna maisha baada ya kifo?

sijasema kunaulazima wowote ila kabla hujahoji hiyo nguvu fulani imekujaje hoji hivi unavyoviona into existence vimekujaje?.
Havijaja.

Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo.
kwa bahati mbaya sindio?
No one knows, mpaka pale itakapo thibitika.

Huwezi kusema kuna mtu kaumba vitu vyote halafu huna uthibitisho ulio thibitika.

Unafanya speculations tu.
 
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu; kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama
Kama roho haionekani ulijuaje ipo?

Unasema roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama, Sasa
uliiona wapi na kujua ipo?

Au unaunda dhana za kufikirika tu?

Imaginations just an illusion.
ila kwa macho yetu haya haya ya nyama tunaweza kuona fika utendaji wake e.g. roho wabaya a.k.a Mapepo au Mizimu, wanavyowatesa wanadamu e.g. Biblia:Luka 8:33 " na Marko 5:1-17....... Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji." Ipo mifano mingi sana ndani ya Biblia inayoonesha Utendaji wa Roho. Hata Yesu mwenyewe alipandishwa na Roho nyikani Mt 4: 1-4........ Oops! sijui mfano wowote wa kutoka kwenye Quran.
Ubarikiwe sana.
 
Hakuna aliyekwenda na kurudi, subiri ufe ukajionee, mengine ni imani kila mtu na imani yake kwa mujibu wa mafundisho yale aliyoyaamini.
 
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu (Biblia Mwanzo 1:26). Kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama ila kwa macho yetu haya haya ya nyama tunaweza kuona fika utendaji wake e.g. roho wabaya a.k.a Mapepo au Mizimu, wanavyowatesa wanadamu e.g. Biblia:Luka 8:33 " na Marko 5:1-17....... Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji." Ipo mifano mingi sana ndani ya Biblia inayoonesha Utendaji wa Roho. Hata Yesu mwenyewe alipandishwa na Roho nyikani Mt 4: 1-4........ Oops! sijui mfano wowote wa kutoka kwenye Quran.
Ubarikiwe sana.
Mimi nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu au kiumbe kuishi baada ya kufa/kifo? Na kama ni ndio basi maana ya kufa ni ipi?
Hizo roho ni kiumbe hai? Au ni kitu gani? Kama ni ndio ni kiumbe kama sisi na wanyama na miti nk: basi utatusaidia kutuonesha hao viumbe roho, tunataka hata kwa macho ya mkaa tuione hiyo roho kama hatuwez kuwaona kwa macho ya nyama. Ila chamsingi tujiulize kuhusu hawa viumbe, kama mimi na wanyama hata wadudu wanaweza kuishi baada ya kufa? Na kama ndio sasa kufa maana yake nini?
 
sijabisha nimejibu kutokana na maelezo ya aliyetoa hii comment

overal kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?. au umetokea tu yaani kwa Kubeti kwamba kuna mtu amebeti grace atokee mara boom huyu hapa si ndio? out of more than a million sparms?.

mtu abeti chance yakutokea grace ambaye sperm iliyobeba genetic information yake ikarutubishe yai na azaliwe grace.

yaani kuna sperm million moja chances ya ww kutokea iwe kwa kubeti sindio?
Kwani option yako ni kubet tu..hio ni black n white fallacy, fallacy of improbability na appeal to ignorance and emotion
 
nani kwakuambia death is a cut off.

swali tunapoenda kuifadhi mwili tunasema huu ni mwili wa flani flani huyo flani yuko wapi?.

ufike mahali muelewe mwanadamu is more than a body. unasema huu ni mwili wangu wewe uko wapi hapo
Si ndo mwili asa unauliza wewe uko wapi kivipi...kwani unaulizwa wewe au ..🤣we niambie ukizima moto huo moto unaenda wapi
 
OK. Kwa Binadamu ambaye wengi wetu tunaamini kwamba mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu (Biblia Mwanzo 1:26). Kitu kinachoweza kuishi baada ya kufa ni ROHO na Roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama ila kwa macho yetu haya haya ya nyama tunaweza kuona fika utendaji wake e.g. roho wabaya a.k.a Mapepo au Mizimu, wanavyowatesa wanadamu e.g. Biblia:Luka 8:33 " na Marko 5:1-17....... Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji." Ipo mifano mingi sana ndani ya Biblia inayoonesha Utendaji wa Roho. Hata Yesu mwenyewe alipandishwa na Roho nyikani Mt 4: 1-4........ Oops! sijui mfano wowote wa kutoka kwenye Quran.
Ubarikiwe sana.
Nzi ana roho? Plasmodium ana roho? Kama anayo inaenda wapi after death..kama hawana Wanaishi vipi bila roho
 
Skieni niwaambie... jibu ni simple ..nobody knows ..ila lemme tell u wat I know
1. Ukisema binadamu ana roho inabidi uelezee roho ni Nini, Iko wapi, inaanzia wapi...maana najua binadamu ni sperm na ovum ndo muunganiko ukadevelop...asa Kama roho ni uhai je shahawa zile ukimwaga sperms nazo zinaenda umilele...je ovum za period zinaenda umilele...je white blood cells zinaenda umilele...je bacteria..je nzi..je yeast fungi... if not why wewe ...why r u special...kisa ka akili kidogo ulichowazidi Cha kutunga story za uwongo na kweli ama...
2. Secondly, jiulize why dini zote zinatumia death kama cut off..."Bora uamini kabla hujafa..ukimkuta unalo..." why is death the cut off...why dini zote Mungu anajificha anamtokea mtu mmoja na huyo mtu ndo anaambia watu waamini yupo or else Wana adhabu wakimwona...it's simple...coz it's unfalsifiable..huwezi thibitisha...so watu hubet kutokana na uwoga.. hamna mtu aliyekufa akarudi na kusoma moto ni hivi na mbingu ni hivi na wanaodhani wamefanya hivyo wote Wana story tofauti

Ifike pahala wabongo na waafrika tuelewe kwamba hizi dini zililetwa katika mda wa Giza na waliozileta wametumia logic na reason na Sasa wameachana nazo..sisi maskini na mazuzu ndo tunajiona tunajua dini kuliko waliozitengeneza...
Dini ziwepo sawa Zina vifaida ila zisitufanye tubaki nyuma kama jamii na taifa
Nakuona DOKTA UCHWARA unatamba na biology yako ya form two.

Cc: DR Mambo Jambo
 
Nilicho na uhakika nacho ni kuwa,
Ipo siku waliokosa haki yao hapa Duniani watarudishiwa
Wewe jiweke tayari kwa kutenda matendo mema kwani siku za mwisho zinatakuwa Ngumu sana!
 
Kinachokufa ni mwili roho bado inakuwapo ni vile tu inakosa cover ya kujipachika
 
Back
Top Bottom