SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
SawaHuna lolote. Urongo mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHuna lolote. Urongo mtupu.
[emoji2]Mtu hajui hata siku ya kesho kutatokea nini lakini eti anajua maisha baada ya kifo. Acha ujinga
Broo; Kwani nzi na plasmodium wameumbwa kwa mfano na sura ya Mungu?Nzi ana roho? Plasmodium ana roho? Kama anayo inaenda wapi after death..kama hawana Wanaishi vipi bila roho
Jibu ni ndio
Mkuu, hoja ya kuishi baada ya kufa imekaa kiimani zaidi.Kama huamini hivyo ni sawa Hakuna kuishi baada ya kifo. Lakini kama unaamini, basi jibu ni Ndio kuna maisha baada ya kifo.Mimi nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu au kiumbe kuishi baada ya kufa/kifo? Na kama ni ndio basi maana ya kufa ni ipi?
Hizo roho ni kiumbe hai? Au ni kitu gani? Kama ni ndio ni kiumbe kama sisi na wanyama na miti nk: basi utatusaidia kutuonesha hao viumbe roho, tunataka hata kwa macho ya mkaa tuione hiyo roho kama hatuwez kuwaona kwa macho ya nyama. Ila chamsingi tujiulize kuhusu hawa viumbe, kama mimi na wanyama hata wadudu wanaweza kuishi baada ya kufa? Na kama ndio sasa kufa maana yake nini?
Wapo wapi sasaMkuu,Hakuna maisha baada ya Kifo wala kabla ya Kuzaliwa.Wewe utaendelea Kuwepo na Bibi na babu yako bado wapo ila hawapo HAI na hawana Maisha kama ambavyo unavyoyaishi hapa DUNIANI ila wapo Ila HAWAISHI
Dah! Nimekwisha!ndugu maisha baada ya kifo yapo. kuna umilele baada ya haya maisha ya duniani binadamu huishi milele. maana binadamu ana roho ambayo haifi kinachokufa ni mwili.
umilele wa binadamu baada ya maisha hapa duniani hutegemea sana alivyoishi hapa duniani na kuna sehemu mbili tu ambazo mwanadamu anakwenda baada ya maisha hapa duniani. ni either uzima wa milele au moto wa milele.
Mkuu, hoja ya kuishi baada ya kufa imekaa kiimani zaidi.Kama huamini hivyo ni sawa Hakuna kuishi baada ya kifo. Lakini kama unaamini, basi jibu ni Ndio kuna maisha baada ya kifo.
Maana ya kufa ni pale Kitendo cha mwili kutengana na Roho iliyo ndani mwako. Ni pale mwili wako unapotwaa hali ya Umauti. Baada ya Umauti watu wenzako wanakufukia ardhini (wanakuzika) kwani huna tena maslahi/faida kwao. Mwili wako ni maiti na punde utaingia katika mchakato wa kuyarudia mavumbi(utaoza).
Unaweza kunionyesha roho iliyo hai na yenye uzima?Roho sio kiumbe bali ni Nafsi hai au unaweza kusema roho ndiyo UZIMA.
PoleAcha uongo, hayo umeyapata wapi?? Usituletee hadithi za yale mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi.
Mkuu, sio lazima uone kila kitu ili uamini kipo. Hivi (kwa utani lakini) unapoongea na simu unaamini kwamba huyo unayeongea naye ndiye kweli yeye?Kama roho haionekani ulijuaje ipo?
Unasema roho haionekani kwa macho yetu haya ya nyama, Sasa
uliiona wapi na kujua ipo?
Au unaunda dhana za kufikirika tu?
Imaginations just an illusion.
Mkuu, Nikuonesheje?Unaweza kunionyesha roho iliyo hai na yenye uzima?
Mwili ndio uzima wenyewe, na hata wewe uko hai sababu ya mwili wako uko hai sio roho.
Ukifa huna uhai tena.
Sasa eleza na thibitisha hiyo roho ni nini na wapi uli iona ikiwa hai?
Wewe hapo ni sehemu ya babu zako na bibi zako wanaishi kupitia wewe hili ndo lenye uhakika kisayansi kwa sasa. DNA yako ikipimwa babu na bibi zako wataonekana.
Kuna maisha baada ya kifo.Habari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Uoneshe hiyo roho uli iona wapi na kujua ipo.Mkuu, Nikuonesheje?
KUNA MAISHA BAADA YA KUFA KWA MUJIBU WA VITABU VITAKATIFUHabari wana JF,
Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?
Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.
(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)