Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Bibie kwa Kiranga hutoboi huyu ameshindikana jf nzima.
Hapana mimi sikumuelewa inawezekana huyu ana iQ kubwa kutuzidi ndio maana mnashindwa kumuelewa, hilo jibu lake katika maada hii waliojibu kama kiranga ni mmoja tu, na yeye amekuwa wapili, lakini wote wamefanana majibu kwamba roho ndio ina ishi tumeuliza roho ni nini? Hakuna majibu yanayoeleweka.
 
Hata wewe hukunielewa.

Hakuna sehemu yoyote nilipotaja roho.

Mimi nimetaja atoms.

Roho haipo. Ni hadithi tu. Ndiyo maana hata swali lako la roho ni nini kulijibu ni kimbembe.

Na atakayekujibu kusema roho ipo atakuletea hadithi zisizo na uthibitisho.
 
Nilipelekwa mahakamani nikawaambia nilivyokamatwa tu ilikuwa kinyume na katiba, wakafuta kesi hapo hapo.
Hahah mimi nikionaga mtu anabishana na wewe kimoyo moyo nacheka nasema huyu kayatimba.

Ni kitu kizuri sana unatupa experience na elimu kubwa sana watanzania

Namna ya kusimama katika hoja, kujibu maswali kwa ufasaha na kwa kutumia facts.
 
Hata wewe hukunielewa.

Hakuna sehemu yoyote nilipotaja roho.

Mimi nimetaja atoms.

Roho haipo. Ni hadithi tu. Ndiyo maana hata swali lako la roho ni nini kulijibu ni kimbembe.

Na atakayekujibu kusema roho ipo atakuletea hadithi zisizo na uthibitisho.
Sindio nimekiri kwamba mwanzo sikukuelewa ndiyo maana nimemwambia mwenzangu hapo kwamba labda huwa hatumuelewi kwasababu katuzidi iQ
 
Binadamu ana roho, na ukitaka kujua kama duniani watu huwa wanaoperate kiroho na kimwili, basi waulize wachawi, au kina mshana kama wapo humu watakuambia. roho ni real na mwili ndio huu unaouona. Kunga ulimwengu wa roho kabisa ambao waliokufa huwa wanaenda huko, ungalipo hai chukua hatua.

kwenu ninyi ambao hamjaokoka, hivyo hivyo ulivyo Mungu atakupokea na atabeba mizigo yako yote, sali sala hii pamoja na mimi:

Eee Mungu wangu, mbele zako mimi ni mwenye dhambi, ninaamini ulimtoa Yesu Kristo alikufa kama kafara kwa ajili ya ukombozi wangu, naomba unisamehe, uniokoe kuanzia leo, mimi niwe mali yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo Yesu Kristo, Katika Jina la Yesu! Amen.

hivihivi kimchaezo mchezo umeshaokoka, acha dhambi, kimbia dhambi na jiunge na wale waliookoka ili mmwabudu Mungu pamoja. Ubarikiwe.
 
You Think You Can Spit On The Mike Like Biggie And Flow Just as Steady as I
Shit Is Real U Know U Love Him, U Ain't Got "Ready To Die","Life After Death", Give To You niqqa.
Twista And Biggie On The Swizz Beat,A Tribute To Big I Love To Bust One.
 
Mkuu; Unasema wanafunzi kukimbia ni terms tu? Kwanini wasitumie terms nyingine? Inamaana hakuna ka-ukweli fulani hapo?
Kuhusu simu nilitumia kama utani lakini ni kukuonesha tu kwamba sio lazima kila kitu uone ndo uamini. Simu yako ikidukuliwa, unaweza kuongea na mtu ambaye sio mlengwa wako. Hilo hulijui?
Hivi na wewe unaona kweli Africa tutaendelea kuoza? Mbona umetumia neno zito hivyo kana kwamba ww sio Mwafrica? Waafrica tunayo mengi ya kujivunia japokuwa ukitulinganisha na wenzetu tunaonekana bado hatujawafikia - Tunakaza mwendo broo.
Sijasema nataka niione roho nimekuambia ujibu hoja zangu na unipe verifiable evidence ya roho... sijawahi ona white blood cells ila naamini wapo coz Kuna non conflicting evidence.
 
Mkuu, mbona nilisema roho huwa haifi? Kama unaamini paka ana Roho hilo ni ww unaamini hivyo. Mimi siamini hivyo. Labda unieleweshe/uniaminishe vinginevyo.
Ni hayo tu.
So paka yule akitembea pale bila roho kafa au...mbona anaishi bila roho afu wewe ambae pia unaishi una roho?
 
Labda tukubaliane kutokukubaliana kuhusu uwepo wa roho.
Tukirudi kwenye maswali yako ya msingi kwamba eti 1. Nzi na Plasmodium wana Roho? Jibu langu ni Hapana. Wewe unasemaje hapo?
2. Wanaishi vipi bila roho?
Chagua: Nikujibu kisayansi au Kiimani au vyote kwa pamoja?. Lakini uzingatie kama tumekubaliana kutokukubaliana kuwepo kwa roho.
Karibu mkuu tujadili.
Kwa Nini wewe una roho afu nzi na plasmodium hawana?
 
Binadamu ana roho, na ukitaka kujua kama duniani watu huwa wanaoperate kiroho na kimwili, basi waulize wachawi, au kina mshana kama wapo humu watakuambia. roho ni real na mwili ndio huu unaouona. Kunga ulimwengu wa roho kabisa ambao waliokufa huwa wanaenda huko, ungalipo hai chukua hatua.

kwenu ninyi ambao hamjaokoka, hivyo hivyo ulivyo Mungu atakupokea na atabeba mizigo yako yote, sali sala hii pamoja na mimi:

Eee Mungu wangu, mbele zako mimi ni mwenye dhambi, ninaamini ulimtoa Yesu Kristo alikufa kama kafara kwa ajili ya ukombozi wangu, naomba unisamehe, uniokoe kuanzia leo, mimi niwe mali yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo Yesu Kristo, Katika Jina la Yesu! Amen.

hivihivi kimchaezo mchezo umeshaokoka, acha dhambi, kimbia dhambi na jiunge na wale waliookoka ili mmwabudu Mungu pamoja. Ubarikiwe.
Umesema kazi ya roho ila haujatuambia roho ni nini!!
 
Roho zinaishi na kila unapotaja jina la marehemu husika lazima roho yake ishtuke huko alipo ndio maana tunahimizwa kuwakumbuka marehemu na kuwaombea heri huko walipo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Nini wewe una roho afu nzi na plasmodium hawana?
Ninaamini kwamba mm nina roho ila nzi na plasmodium hawana kwa sababu daima dumu wanaishi kwa mzunguko wa kimaisha (Life cycle)tu tangu enzi na enzi. Wanaishi, wanazaana then wanakufa. Hakuna badiliko lolote la maendeleo ktk mfumo wa maisha yao.
 
Ukiwa hai na ukawa umesinzia/umelala fofofo na kama hauoti ndoto yoyote muda huo, je utaweza kuhisi uwepo wowote wa maisha? Kama hauwezi kuhisi uwepo wa maisha ukiwa tu usingizini, inawezekana vipi mtu hauna pumzi (umekufa) kisha uweze kuhisi uwepo wa maisha?
"Ukiwa usingizi unahisi uwepo wa maisha"
 
Hahah mimi nikionaga mtu anabishana na wewe kimoyo moyo nacheka nasema huyu kayatimba.

Ni kitu kizuri sana unatupa experience na elimu kubwa sana watanzania

Namna ya kusimama katika hoja, kujibu maswali kwa ufasaha na kwa kutumia facts.
Lakini hajawahi kuja na tafiti hata moja aliyowahi kuifanya.

Mfano anaamini hakuna uchawi je alishawahi kuleta tafiti hata moja ?

Kuna maeneo yanaaminika sana kwa uchawi ,

Je alishawahi kwenda kufanya tafiti huko akaja na uthibitisho kuwa uchawi hakuna ?

Akiacha hii tabia ya kutolea maelezo mengi mambo tofauti kuonyesha ni mzuri wa hoja, Akawa anakuja na uthibitisho wa tafiti alizozifanya ntaanza kumuelewa.

Kiranga
 
Sitaki kufanya utafiti mkubwa kuhusu ujinga ambao utashtiti wa Kisokratiki mdogo tu utaumulika na kuuonesha huu ni ujinga na uongo.

Maeneo kuaminika sana kwa uchawi si uthibitisho kwamba uchawi upo, ni ushahidi kwamba uchawi unaaminika.

Sijasema uchawi hauaminiki, nimesema siamini uchawi na pia uchawi haupo.

Msingi wa kuamini uchawi ni ujinga.

Nikikuuliza uchawi ni nini na unajuaje huu lazima ni uchawi, si kitu kingine chochote usichokijua, utajibu vipi?
 
Hakuna maisha baada ya kifo ukifa umemaliza ukweli mchungu
 
Sitaki kufanya utafiti mkubwa kuhusu ujinga ambao utashtiti wa Kisokratiki mdogo tu utaumulika na kuuonesha huu ni ujinga na uongo.

Maeneo kuaminika sana kwa uchawi si uthibitisho kwamba uchawi upo, ni ushahidi kwamba uchawi unaaminika.

Sijasema uchawi hauaminiki, nimesema siamini uchawi na pia uchawi haupo.

Msingi wa kuamini uchawi ni ujinga.

Nikikuuliza uchawi ni nini na unajuaje huu lazima ni uchawi, si kitu kingine chochote usichokijua, utajibu vipi?
Unafaa kuwa mwanasiasa brother.
 
Back
Top Bottom