Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Bac na mi naamini nyumbani kwangu ninaishi na Kobe mwenye mabawa na yupo fasta kama flash ila huwezi muona bila macho ya kiroho
Yeah! Imani ni kitu cha ajabu sana. Wewe unamuona lakini ss wengine hatuoni kwa kuwa linapokuja suala la kuwa na macho ya kiroho ni vipofu.
 
Ukifa unaoza unakuwa mbolea ya mimea / hayo mafuta na nishati kadhaa almasi n.k. ni viumbe vilivyokufa zamani...

Kabla haujaziliwa ulikuwa haupo chanzo chako ni mbegu ni kama vile unashangaa huu muindi umetoka wapi wakati ulipanda mbegu / indi
Mkuu,

Hiyo dhana ya kwamba wewe upo na umekuwapo tangu kuzaliwa yenyewe pia imewekewa maswali.

Tunaposema "wewe" au "mimi" tunamaanisha nini?

Wewe uliyezaliwa kama mtoto mchanga si sawa na wewe wa sasa hivi, na kila siku unabadilika.

Wagiriki wa kale walikuwa na thought experiment.

Hivi, tukitengeneza meli, tukaipa meli hiyo jina kwamba hii ni meli A. Halafu polepole tukawa tunaifanyia maintenance ike meli, tunachomoa ubao huu, tunaweka mwingine, engine inech9ka tunaiondoa, tunaweka nyingine, baada ya miaka fulani, kila kitu kilichokuwapo katika ike meli ya awali A kinakuwa kishaondolewa, nafasi yake imechukukiwa na kitu kingine tofauti.

Meli hiyo bado itakuwa ni meli ile ile A, au itakuwa ni meli tofauti? Kwa nini?

Naam hili swali la muhimu sana Binafsi naweza kusema mimi au wewe ni sum total ya vitu vyote vinavyokutambulisha wewe kama wewe na mimi kama mimi..... na kimoja kikibadilika haimaanishi sio wewe kama vile nyoka anavyobadilisha ngozi au mfano nikipata ajali wakaniwekea viungo vya bandia sababu mawazo, na experience bado zitakuwa zangu bado takuwa mimi hata nikisahau nikawa vegetable kama brain bado ni yangu nadhani arguably tunaweza kusema huyo bado ni mimi

Hapana hapo takuwa mimi mzee wa miaka kadhaa ila bado ni mimi ambaye nilikuwa mdogo ni kama vile mbuyu ulivyokuwa kama mchicha na sasa hivi ni lidude likubwa lakini bado ni uleule mbuyu aliyoupanda Bwana fulani.....

Meli ile structurally itakuwa ina vifaa tofauti na hata kama ilikuwa ndogo wakaiongezea ikawa kubwa zaidi lakini sababu itakuwa bado tunaiita "A" na imechukua nafasi ya "A" bado itatambulika kama "A" ; (The Refurbished; Renovated A)...; Lakini kama tukigundua teknolojia ya hii meli badala ya kubadilisha vifaa yenyewe iwe inajitengeneza na kujibadilisha kama nyoka anavyobadilisha ngozi lazima kutakuwa na uhusiano kati ya ubao ulikuwepo leo na utakokuwepo kesho.....

That's my two Cents..... Ingawa huenda mimi wa leo nikamshangaa mimi wa miaka mitatu iliyopita na kumuona alikuwa mpuuzi na tukikutana tukabishana na nikamdharau kwamba hakuna anachojua
 
😂😂😂Sawa mkuu
1709232415313.png

Labda tujikite zaidi kwenye mfano wa meli, for the sake of simplicity. Hata kwa kuanzia tu. Mfano wa mtu una complexities za mambo kama nafsi, mawazo, etc, tunaweza kurudi huko lakini tuanze na mfano simple wa meli kwanza.

Huoni kwamba baada ya muda mrefu kupita na kila kitu katika hiyo meli A kubadilika, kitakachobaki kilekile ni jina tu "Meli A" huku vingine vyote vikiwa vimebadilika?

Na kama kitakachobaki ni jina tu, jina lina maana gani?

Shakespeare alisema a rose by any other name, shall smell as sweet.

Maana yake, kama meli A imebadilika nzima, imebadilika nzima tu, hata ukilazimisha kuiita jina lilelile "meli A", meli hii si ile A uliyoanza nayo.

Hapo unaonaje?
 
Logikos

Ship of Theseus

This article is about the thought experiment. For the film, see Ship of Theseus (film).

The Ship of Theseus is a thought experiment about whether an object is the same object after having had all of its original components replaced.

In Greek mythology, Theseus, mythical king and founder of the city Athens, rescued the children of Athens from King Minos after slaying the minotaur and then escaped onto a ship going to Delos. Each year, the Athenians would commemorate this by taking the ship on a pilgrimage to Delos to honour Apollo. A question was raised by ancient philosophers: After several hundreds of years of maintenance, if each individual piece of the Ship of Theseus was replaced, one after the other, was it still the same ship?

In contemporary philosophy, this thought experiment has applications to the philosophical study of identity over time, and has inspired a variety of proposed solutions and concepts in contemporary philosophy of mind concerned with the persistence of personal identity.
 
Haya kama sisi tunatakiwa kujibu hatujui kwasababu hatujajua dawa ya vidonda vya tumbo, wewe uhalali wa kusema ndio unaletwa na nini?
Mimi Nina Imani yenye marejeo kwenye vitabu na ufunuo kutoka kwa muumba so sjakurupuka kusema tu yapo Kama Imani za kiswahili mfano usikae mlangoni Ni vibaya,kumruka mtu anakuwa mfupi n.k , kiufupi Nimekubali Kuna vitu siwezi viona Wala kusikia kwa sababu ya uchche wa maarifa na uwezo hvyo nabaki kuishi kwenye Imani tu.
 
Maelezo meeeengi ila umeandika ujinga tupu, roho ni nini kwanza? Mbinguni je ni wapi, Mungu anakaa mbingu ya Saba ndio wapi huko!?[emoji53]
Unajua ni generation ngapi zimepita tokea generation ya Adam mpaka hii gen. yetu? Unaamini kabisa kizazi Cha Adam kinaendelea kusubiri kufufuliwa siku ya kiama! Ushavuta picha kwamba Kuna time itafika hiki kizazi chetu nacho kitakuja kuonekana ni 'zamani za kale' kama Cha enzi ya Adam tunavyokiwazia Sasa hivi. Hakuna kusubiri kufufuliwa sabab Dunia ipo na itaendelea kuwepo Haina mwisho
Nope ushahid wa kielimu kwamba dunia Haina mwisho.
 
Mkuu,

Labda tujikite zaidi kwenye mfano wa meli, for the sake of simplicity. Hata kwa kuanzia tu. Mfano wa mtu una complexities za mambo kama nafsi, mawazo, etc, tunaweza kurudi huko lakini tuanze na mfano simple wa meli kwanza.

Huoni kwamba baada ya muda mrefu kupita na kila kitu katika hiyo meli A kubadilika, kitakachobaki kilekile ni jina tu "Meli A" huku vingine vyote vikiwa vimebadilika?

Na kama kitakachobaki ni jina tu, jina lina maana gani?

Shakespeare alisema a rose by any other name, shall smell as sweet.

Maana yake, kama meli A imebadilika nzima, imebadilika nzima tu, hata ukilazimisha kuiita jina lilelile "meli A", meli hii si ile A uliyoanza nayo.

Hapo unaonaje?
Nadhani arguably unaweza uka-defend tena successfully kwamba almost everything anything is not the same hata kabla ya kubadilisha kila kitu....; Lakini point ya maana zaidi inayofikirisha ni kwamba yule mwingine aliyechukua mabaki yote yaliyotupwa / kuwa replaced akayajengea meli nyingine je hii nyingine ndio itakuwa A au A ndio itabakia kuwa A ?

Nadhani hapo watu wengi wa wakati huo watakuwa convinced kwamba hii mpya ambayo aina chochote kile cha zamani ndio A; Pia nadhani hili jambo ndio linawafanya watu wengi wabishe na kutokukubaliana na evolution...

Yaani mtoto aliyeona hio meli ikiwa na hili dirisha jipya yeye ana-identify zaidi na hili dirisha kuliko lile lililokuwepo kabla hajazaliwa..... (Hence kwake yeye hata milango ikianza kubadilishwa yeye akiona lile dirisha ndio kama identification ya kile kitu) - Hii ni kama Chura na Maji ya Moto
 
Lakini hapo huoni kwamba umebadili topic kutoka essence of an object kuja kwenye identification of an object?

Mimi naongelea the essence of an object, not the mere identification of an object.

Tukirudi kwa Shakespeare na mfano wake wa "a rose shall smell as sweet by any other name".

Leo tukiichukua harufu ya ua la waridi (rose) tukaiweka katika chupa, tukawa tunaibadilisha kidogo kidogo ile harufu kila siku, mpaka baada ya miaka 50 ile chemical composition yote ikabadilika, ike harufu ya ua waridi ikawa ya mayai viza, tutasema ile harufu ya mayai viza ni ya ua waridi kwa sababu watoto waliozaliwa miaka hiyo ndiyo wanayoijua (identification) kama harufu ya ua waridi?
 
Ukweli utakuwa kwamba hio ni harufu ya yai viza (Kama sisi tutakuwepo baada ya miaka hamsini tutajua ukweli huo) Ingawa hao watoto huenda wakatubishia kwamba waridi yananukia kama yai viza na kama tutakuwa hatuna proof ya kuwaonyesha huenda wasikubaliana nasi....

Lakini kama tutakuwa hatupo huenda roses zika-cease to exist na kuwa yai viza; Nadhani mambo mengi yanatokana na perception yetu which might be distorted.... na hata mimi kama mimi bila mawazo yangu / memories huenda sio mimi wa miaka kumi iliyopita (ingawa nitajiuliza je nikipoteza memory mimi sio mimi) ? Je umimi wangu unakuwa defined na kina nani wanaoniangalia, the essence of me au the space I used to occupy ?
 
Hapo ndipo utakapojua kwa nini wanasema "you can never cross the same river twice".

Yani ukishavuka mto mara moja, ukirudi mara ya pili yale maji uliyoyavuka mara ya kwanza yashabadilika na mto unaouvuka ni mto tofauti.

Na hivyo, dhana nzima ya "mimi" kama kitu fulani kinachodumu ni potofu.

Kwa sababu wewe unabadilika kila sekunde.
 
Baada ya kufikiria hili jambo nimekuja na conclusion ifuatayo; As far as the onlookers are concerned we are just identities (labels) Jon Doe akiwa na miezi 2 (miaka sifuri); akiwa 20; na akiwa na miaka mia moja Ni nani ambaye ni Huyo Jon Doe; sababu hata memories huenda at 100 akawa hana hizo memory na akawa ni dubwasha tu kama alivyokuwa akiwa na miezi 2; and absolutely nothing is the same as he was at his childhood...

Pili identity inategemea muda unaokaa na zile features (Hata mashati fulani tuliya-identify kwamba ni mashati ya Mandela) au hio Ship huenda ule mlingoti uliowekwa at year 50 kwa miaka mingine hamsini watu wali-identify na huo mlingoti ingawa huenda at year 10 hata huo mlingoti haukuwepo...

Thus we are just Identities / labels as far as onlookers are concerned; As far as we are we are concerned we are who we are at that particular age (childhood, teens, adulthood or old age)
 
Inategemea unaegemea mrengo gani, wa dini au sayansi.
 
Mimi Nina Imani yenye marejeo kwenye vitabu na ufunuo kutoka kwa muumba so sjakurupuka kusema tu yapo Kama Imani za kiswahili mfano usikae mlangoni Ni vibaya,kumruka mtu anakuwa mfupi n.k , kiufupi Nimekubali Kuna vitu siwezi viona Wala kusikia kwa sababu ya uchche wa maarifa na uwezo hvyo nabaki kuishi kwenye Imani tu.
Imeshuka kutoka kwa muumba au uliletewa na mwarabu mjanja
 
Sina haja ya kutembelea Gamboshi, tunaye mtu huko Gamboshi ni kwao yuko hapa anakwambia hizo habari za kwamba Gamboshi kuna uchawi ni hadithi za watu tu.

Yani kama wewe umeanza kuisikia Gamboshi ukubwani kwenye stories za vijiweni, yeye huko ndiko familia yake walipotokea.

Tatizo, ukishaanza na imani ya uchawi, ukiona story yoyote ambayo huna uhakika nayo, huielewi, haijathibitishwa, unaikubali kama uchawi.

Nimekuuliza, ukiona kitu ambacho unafikiri kipo nje ya kanuni za physics, utajuaje huu ni uchawi, na si kanuni za physics ambazo wewe huzielewi tu?Au hadaa za watu tu? Hujajibu maswali haya kabisa.

Haya ni maswali ya msingi sana, ukiacha kuyajibu unanionesha kwamba unabishana kishabiki, unatetea upande wako, huna nia ya kuchunguza mambo kwa kina na kupata ukweli.

Ama hivyo, ama huyaelewi maswali haya na umuhimu wake, jambo ambalo linanipa shaka sana kama mazungumzo na wewe yatakuwa na tija yoyote.

Unajuaje huu ni uchawi ulio nje ya kanuni za physics, na huu si uchawi, ni mambo yaliyo ndani ya kanuni za physics tu, kwa kanuni z aphysics ambazo sijazielewa bado? Hujajibu swali hili.

Unajuaje huu ni uchawi, na huu ni mchezo wa hadaa za walimwengu tu katika jitihada za kupambana na hali zao na kupigana pesa? Hujajibu swali hili.

Unaongelea data, huwezi kwenda kukusanya data bila ya kujua scope, bila kujua kipi kiko nje ya kanuni za physics na kipi kinaweza kuwa ndani lakini wewe hujazijua tu hizo kanuni.

Unakusanya vipi data wakati hujui hata mipaka ya kukusanya data iko wapi?

Unayaelewa haya maswali? Au unajibu kibishi tu kwa kutetea upande wako?

Nyani Ngabu
Mwaka jana mwishoni kuna chuo kimeanzishwa ujerumani Kinachohusu mambo haya ya uchawi.

Uchawi ni neno kama ambavyo na wewe kwenye akili yako umeweka neno linaloitwa sayansi,
Na kila moja inaelezea kwa namna yake inavyofanya kazi.

Huyu anaeamini/kujua kuhusu uchawi peke yake akikwambia haijui sayansi wala haitambui sayansi anakosea ?
 
Back
Top Bottom