Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
We Ulitaka wavae Madera au mavazi ya waarabu sema?Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi .
Sijui kwa mantinki ipi wakuu?
Soma Pia: Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo