Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

When in Rome do as Romans (Comfortability Mkuu) wewe nenda umevaa kanzu, Baibui au Sketi alafu tuone performance yako.....

When Push comes to Shove..., every little Helps. And in this game we are talking about microseconds differences....

By the way kama unaongelea Imani kwamba ndio Ustaarabu niambie Adam na Hawa / Eva walikuwa wanapiga mapigo gani (according to Agano la Kale)
 
Tatizo wakivaa Hijabu watu wa dini furani Wanaonekana kama watumwa na Oppressed.

Uhuru wa Mavazi ni kuvaa nusu uchi ila akiaamua Mwanamke ajigubike nguo asionekane chochote ni Utumwa.

Double standards.
Mbona kwa wanaume wanaokimbia riadha husemi wakimbie na kanzu. ? Hata hao wanawake wenu waambieni wake wamevaa burka. Kila Taifa Lina tamaduni zake. Unachokiita kwako kuvaa uchi kwa wenzako wapi sawa na hakuna tatizo kwao. Kamati ya Olympic haijapanga Mavazi ya kuvaa. Wapo baadhi ya wanawake na wanaume huvufunika manguo kubi gubi lakini ndani chupi hawana. Wakiamua kuja hivyo poa tuu. Who care? Wakipata medali hatuangalii walikuwa wamevaa nini. Sisi tutapandisha bendera ya nchi yake na kuomba wimbo wa taifa lake
 
Ulitaka mtu avae kabutula nzito then atumie sekunde 19 kukimbia 200m? Unataka kupasua vifua vya watu na upepo. Hiyo ni kazi ya tafiti mkuu.
 
Mbona kwa wanaume wanaokimbia riadha husemi wakimbie na kanzu. ? Hata hao wanawake wenu waambieni wake wamevaa burka. Kila Taifa Lina tamaduni zake. Unachokiita kwako kuvaa uchi kwa wenzako wapi sawa na hakuna tatizo kwao. Kamati ya Olympic haijapanga Mavazi ya kuvaa. Wapo baadhi ya wanawake na wanaume huvufunika manguo kubi gubi lakini ndani chupi hawana. Wakiamua kuja hivyo poa tuu. Who care? Wakipata medali hatuangalii walikuwa wamevaa nini. Sisi tutapandisha bendera ya nchi yake na kuomba wimbo wa taifa lake
Hoja sio mavazi ya dini yawepo michezoni Hoja ni Uhuru wa Mavazi kwa kila mtu yaani kila mtu avae kile atakacho yaani yupo huru.

Unachokisema wewe hakina Uhalisia kwa sababu Wanawake wanaovaa hijab wanakuwa na wakati mgumu katika mashindano kama hayo hasa kutoka kwa wazungu tunaowaita wamestaarabika kwani huwaona kama vile oppressed women bado wapo utumwani.
Na baadhi ya nchi za ulaya wamepiga marufuku kabisa mavazi hayo (just normal hijab not burka)

Lakini tukizungumzia wanawake kuvaa nusu uchi hoja inakuja kila mtu ana uhuru wa mavazi.

Sasa hapa ndio tunasema Double standards.
 
wazee wa kudownload wake za watu , download huyu mwana olympic mtanzania aliezailiwa ujerumani (mixer ya mzanzibar na mjerumani mwanamke )............ANAITWA MALAIKA MIHAMBO...................GERMAN OLYMPIC PLAYER OF TANZANIA ORIGIN
 
Back
Top Bottom