Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Sijajua mpaka leo sababu ya kumfanya mwanamke aonekane almost uchi kwenye michezo,burudani za miziki n.k, sababu ni nini?Wazungu ndio waliotuletea mambo ya haki sawa kwa mwanamke na lengo ni kumkomboa mwanamke kwenye udhalilishaji,lakini ndio hao hao wako mstari wa mbele kumdhalilisha.Kwenye michezo ya olympic kwakweli hata kuangalia na watoto kwa sisi wenye mila ngumu unapata shida sana...
 
Anzisha islamic olympic .....ndo maana waingeleza wanakimbiza ndulute zote zirudi kwao kila sehem zinataka ziweke sheria zao za kipuuzi.Kuna mmoja humu ilikuja inalalamika watoto wa kike Jkt wanavalishwa bukta dah🤯🤯Yaan mpaka jeshini wanataka watu wavae hijabu.Ukishika sana dini basi unakaribisha uchizi maana hata kufikiri kwako kuna kua na kikomo kila kitu unataka usome kwemye kitabu.Sasa ww unatofauti gani na roboti.Mungu kakupa akili itumie.
 
Mimi namshukuru Mungu yule kaka mzuri wangu yuko busy haangalii maana kama jana lile shindano la rhythmic gymnastics ilikuwa balaa.
Ngoja niende yutyubu nikaone kwanza ili nirudi kukomenti😎
 
Hamna mtu humu 🙌🙌🙌unasisimuka namna hii🤔
mara paaaaaaaaaaah kitu kinadisa upo sebuleni uncheki beach volleyball na mama mkwe halooooooooooooooooooooooooooooooooo hapo ndo picha linaanza
 
Vipo wapi hvo vichupi jamani .
😂😂😂😂😂😂
Kama nyie hamtaki niachieni mimi
 
Kwa mtu mweupe (mzungu) sehemu zake za siri ziko kifuani (matiti). Kamwe huwezi kumkuta matiti yakiwa hadharani hata km ananyonyesha. Kwa mtu mweuzi (mwafrika) sehemu zake za siri ziko miguuni (ku***"m). Waafrika wao kifuani hawana cha kuficha to ndo maan si ajabu kumuona mwanamke wa kiaafrika akitoa titi hadharani na kumnyonyesha mtoto wake. Hata km ni kwenye gari.

Kwa hiyo wazungu kuvaa vichupi ni utamaduni wao na pande hizo hakuna sehemu za siri.
 
Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi .

Sijui kwa mantinki ipi wakuu?

Naona itakuwa ndio mara yako ya kwanza kutazama mashindano makubwa jumuishi yenye ku9nesha kada nyingi za michezo...

Ungekuwa mpenzi wa mashindano yeyote ya IAAF, beach volleyball, gymnastics, sych diving wala usingelishangazwa...
 
Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi .

Sijui kwa mantinki ipi wakuu?

Soma Pia: Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo
Ungejua maana ya olympic,ungejua kwanini Kuna viashiria vya kishetani,neno Olympic limetokana na neno la kigiriki"olympicus"yaani mlima wa miungu"hili Ni jina la mlima ambao ulitumika kuabudia miungu 12 ya kigiriki na mungu wao mkuu"Zeus" watu walikuwa wanakusanyika Kila baada ya miaka minne kuifanyia sherehe miungu yao hivyo michezo mbalimbali ilifanyika Kama njia ya kuifurahisha hiyo miungu,na hilo ndilo chimbuko la michezo ya olympic,so usishangae ushetani unaofanyika pale.
 
Hii theard imenifanya leo nisiangalie springbord 3m diving women final muda huu. Imenitia kitete sana
 
Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi .

Sijui kwa mantinki ipi wakuu?

Soma Pia: Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo
Wewe hapa kati ya Spain na Misri ungesapoti timu ipi??
20240809_165255.jpg
 
Back
Top Bottom