Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

Olympics zilianza ugiriki zamani sana, na walikuwa wanafanya wakiwa uchi

Hizo nguo zimetengenezwa kwa namna ambayo inaongeza ufanisi.
Mfano zinapunguza drag, ile force inayokinzana na kitu kilichopo kwenye motion

Sema za wanawake zipo vile kwa sababu ya sexism, yale mazoea kwamba wanawake wanatakiwa wavutie
 
sijaona umuhimu kabisa hata wa ile michezo imagine mtu anaenda kulenga kibastola...yani utoto ni mwingi kweli sometimes unatakiwa ujitoe akili ili uishi.
kimsingi ni mashindano,

binadamu tunapenda mashindano kwenye chochote kile

wale athletes wanaoshindana wanafanya wanachopenda, watazamaji mnaburudika

nilishangaa kuona kuna mashindano ya kujamba, ila haikuwa olympics
 
Back
Top Bottom