Kifupi shetani yupo kazini sehemu za mazoezi zinatumika kama kijiwe Cha umalaya kwasasa,kwamfano kwenye maZoezi kwenye jimu Malaya wamejazana au wenye malengo hayo unakuta wadada Kwa wamama vitaiti vya kulalia atakwambia vya mazoezi wengine unakuta nguo zao chipi nje suruali ndani unajiuliza mbona track suit nzuri Pana za kufanyia mazoezi zipo wanashindwa kununua unapata majibu umalaya wa wazi na wengine wanajificha kutimiza malengo yao